mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Benjamin William Mkapa ni baba wa demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, tumuenzi kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia

    Wanabodi, Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!. Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nawapa Kongole ITV ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa

    Ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa ITV wamejitahidi sana kumtendea haki. Wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili, utakuta habari nne mfululizo ni habari za msiba wa Mzee Mkapa. Utaona habari watu wapo uwanjani wakiaga, utaona habari nyingine watu mkoani Tanga wakitoa maoni juu ya kufiwa...
  3. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mkapa aliweka ripoti ya Jaji Warioba Kabatini, Tuseme ukweli

    Amani iwekwenu. Jana tumemlaza mzee wetu kaburini. Ni bwana BWM. Huyu ni raisi wa awamu ya tatu wa Tanzania. mengi yalisemwa ya kweli na ya uongo. ni hulka ya mtu mweusi.mfanowe ni musiba, huyu alimwita marehemu mwizi lakini juzi aliibukia msibani hata kupiga magoti mbele ya mjane. mnafiki...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo TID alivyomlilia Rais Mstaafu Mkapa, inasikitisha sana

    Kama ambavyo Watanzania wengi tulivyoguswa na msiba huu mzito wa Kitaifa, wasanii wetu pia wameguswa.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM kama kweli tunataka 'Kumuenzi' vyema Hayati Mzee Mkapa na hata Baba wa Taifa tukae mbali na 'Unafiki' huu wa Kidemokrasia

    Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Nipashe. ----------- Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Nyerere hawakuwahi kupanda Madhabahuni kuhutubia Taifa?

    Katika hali ya Kawaida, msikitini ni pahala patakatifu pa kumwabudu mungu na kanisani ni pahala pa kumwabudu Mungu. Tangu tupate uhuru 1961, December, Tanganyika haijawahi kutokea Nyerere akiwa Waziri mkuu wa Kwanza, mpaka akafikia urais, Mwinyi kuanzia 1984-1995, Mkapa 1995-2005, Kikwete...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ili tufike Uchumi wa Kati shirikishi tunapaswa kufanya nini?

    Ndugu wananchi, Kama taifa lazima tuwe na dira na Mipango. Marehemu Mzee Mkapa alitamani kwamba ikifika mwaka 2020 ba Pato la Mtanzania liwe limefika USD 3000. Niseme tu kwa wale ambao sio wafuatiliaji wa Mambo kwa sasa GDP per Capita ni USD 1080 Ila tukitumia mfumo wa PPP (Purchasing Power...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuwe na Mkapa Day

    Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005. Hayo ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

    DR. RAMADHANI KITWANA DAU ANAVYOMKUMBUKA RAFIKI NA KIONGOZI WAKE RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA KWA NINI NAMLILIA MZEE BENJAMIN WILLIAM MKAPA Dkt. Ramadhani K Dau Ilikuwa siku ya Ijumaa tarehe 24 Julai 2020 kiasi cha saa 8 na nusu usiku kwa saa za Tanzania nilipopata simu kutoka Accra...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Mkapa: Kijana avutia watu kwa kuvaa fulana iliyotumika kwenye kampeni ya Urais kumnadi Mzee Mkapa

    Kijana huyo amevutia waombolezaji wengi kwenye mazishi ya Hayati Mkapa kiasi kwamba kila mmoja kutamani kupiga picha naye. Sijafanikiwa kupata jina lake lakini anadaiwa kushika wadhifa wa Udiwani huko Mtwara. Ikumbukwe Mkapa amehudumu Urais kuanzia mwaka 1995 - 2005 hivyo huenda fulana hiyo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa alitengeneza uongozi wa Nchi kwa ngazi mbalimbali

    Kwa maoni yangu wakati Hayati Mzee Mkapa akiingia madarakani mwaka 1995 alianza na Mikakati ya kuweka mifumo mbalimbali ambayo hadi sasa imekuwa endelevu. Kipindi hicho ndicho kiliibua Maboresho katika Utumishi wa Umma. Hii iliendana na dhana ya ajira kwa kuzingatia sifa pamoja na kuibua...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Rais Mkapa: Kwa nini Ubalozi wa UAE Tanzania haujashusha bendera nusu mlingoti?

    Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao. Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkapa ameondoka katu hatorudi tena

    Wengine tuliobaki ,tunjiani twasogea. Mkapa ameondoka, katu hatorudi tena. mengi ametufanyia kwa hisabu sikumbuki Mkapa ameondoka katu hatorudi tena Kama wanafunzi bora,tuyasome yake mema. Mkapa ameondoka katu hatorudi tena Sisemi hana mabaya,ya pemba si ya kuigwa Mkapa ameondoka katu...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Askofu Nyaisonga: Kukiri kwa Mkapa kwa aliyokosea ni ishara ya unyenyekevu

    Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, amesema kitendo Hayati Benjamin Mkapa kukiri mambo aliyowahi kukosea wakati wa uongozi wake akiwa Mkuu wa nchi katika kitabu chake cha ‘My life My Purpose’ ni ishara ya unyenyekevu na kumpenda Mungu. Askofu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

    Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako. Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa. Hebu...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

    Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu. Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana. Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pale Rais Magufuli anapomsifu Mkapa kwa demokdasia na utawala bora

    Jana wakati Rais Magufuli anasoma hotuba ya Tanzia juu ya kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, alizungumza mambo mengi mazito ambayo rais huyo aliyetutoka alilifanyia Taifa. Kwa kweli Mkapa ameacha alama katika nchi hii, yeye ndiye aliyesuka engine ya Tanzania ya leo tunayoiona. Yeye...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa

    Wanabodi, Wakati leo tunampumzisha mpendwa wetu Benjamin William Mkapa kwenye pumziko lake la milele. Nilidhamiria Kwenda Lupaso Kumzika Mkapa. Mimi ni mwandishi wa kujitegemea, ambaye sifanyii kazi chombo chochote cha habari, lakini habari zangu nasisambaza vyombo mbalimbali vya habari na...
  20. Troll JF

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaonya wahuni wanaotaka kuvuruga Msiba wa Mzee Mkapa

    IGP AWAONYA WALIOPANGA KUVURUGA SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE MKAPA “Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya IGP Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa. Ikiumbukwe mapema ya leo Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilizuia...
Back
Top Bottom