mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

    Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere 1995 Mjini Iringa: Rais mchagueni Mhe. Mkapa lakini Mbunge chagua Mgombea atakayewafaa Jimboni

    Sabato ya leo nimejikuta najikumbusha kizungumkuti cha Uchaguzi Mkuu wa 1995 katika jimbo la Iringa Mjini. Wagombea wetu walikuwa Ben Mkapa ( CCM) vs Lyatonga Mrema ( NCCR mageuzi) kwa urais. Mwalimu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa ( NCCR mageuzi) vs Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine ( CCM) kwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe dawa ya magazeti ya udaku ni Ukuda. Kwa mara ya kwanza hawakuweka udaku juu ya msiba wa Mkapa. Pongezi Mwakyembe

    Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye misiba ya watu mashuhuri! Ingekuwa zamani msiba wa mkapa usingeisha salama bila habari za magazeti...
  4. E

    JamiiForums Tanzania 2025-2030 tunahitaji Mkapa mwingine

    Baada ya kifo cha rais wetu wa awamu ya tatu Ndugu Benjamin William Mkapa, ndipo watanzania walio wengi mbumbumbu kama mimi tumeweza kuelewa haya maneno ya kujenga nchi ni kujenga taasisi. Lakini ni wazi kujenga nchi ni sawa na kilimo shambani, kuna hatua ya kulima na kupanda, kuna hatua ya...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere, Benjamin Mkapa, wakiwa London mwaka 1975

    Hii ilikuwa ni siku ya mwisho ya ziara yake ya kitaifa aliyoifanya huko Uingereza mwaka 1975. Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa, tarehe 21, Novemba 1975. Hivi Rais Mkapa mwaka ‘75 alikuwa na wadhifa gani serikalini? Hao wengine sijawatambua ni akina nani. Hii ziara niliwahi kuianzishia uzi humu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

    Kwa mujibu wa hii speech (eulology) aliyoitoa JK kwenye msiba wa BWM, imetusaidia kujua Mkapa alikuwa ni mtu wa namna gani. Licha ya kufanya mambo makubwa katika nchi lakini hakutumia kabisa vyombo vya habari vya Taifa kujipigia mapromo kama tunavyoona kwenye utawala wa sasa. Ifahamike Mkapa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa tuna Nyerere Day, napendekeza pia tuwe na Mkapa Day

    Kwa kuwa Tayari tuna Nyerere day, siku ambayo hutumika Kama kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Tanzania, napendekeza pia kuwe na Mkapa Day ili kila mwaka Taifa liweze kusherehekea kumbukumbu ya kifo cha Rais huyu wa awamu ya tatu. Wote walikuwa Marais hivyo lazima tuwaenzi bila ubaguzi
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Benjamin William Mkapa ni baba wa demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, tumuenzi kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia

    Wanabodi, Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!. Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nawapa Kongole ITV ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa

    Ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa ITV wamejitahidi sana kumtendea haki. Wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili, utakuta habari nne mfululizo ni habari za msiba wa Mzee Mkapa. Utaona habari watu wapo uwanjani wakiaga, utaona habari nyingine watu mkoani Tanga wakitoa maoni juu ya kufiwa...
  10. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mkapa aliweka ripoti ya Jaji Warioba Kabatini, Tuseme ukweli

    Amani iwekwenu. Jana tumemlaza mzee wetu kaburini. Ni bwana BWM. Huyu ni raisi wa awamu ya tatu wa Tanzania. mengi yalisemwa ya kweli na ya uongo. ni hulka ya mtu mweusi.mfanowe ni musiba, huyu alimwita marehemu mwizi lakini juzi aliibukia msibani hata kupiga magoti mbele ya mjane. mnafiki...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo TID alivyomlilia Rais Mstaafu Mkapa, inasikitisha sana

    Kama ambavyo Watanzania wengi tulivyoguswa na msiba huu mzito wa Kitaifa, wasanii wetu pia wameguswa.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM kama kweli tunataka 'Kumuenzi' vyema Hayati Mzee Mkapa na hata Baba wa Taifa tukae mbali na 'Unafiki' huu wa Kidemokrasia

    Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Nipashe. ----------- Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Nyerere hawakuwahi kupanda Madhabahuni kuhutubia Taifa?

    Katika hali ya Kawaida, msikitini ni pahala patakatifu pa kumwabudu mungu na kanisani ni pahala pa kumwabudu Mungu. Tangu tupate uhuru 1961, December, Tanganyika haijawahi kutokea Nyerere akiwa Waziri mkuu wa Kwanza, mpaka akafikia urais, Mwinyi kuanzia 1984-1995, Mkapa 1995-2005, Kikwete...
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ili tufike Uchumi wa Kati shirikishi tunapaswa kufanya nini?

    Ndugu wananchi, Kama taifa lazima tuwe na dira na Mipango. Marehemu Mzee Mkapa alitamani kwamba ikifika mwaka 2020 ba Pato la Mtanzania liwe limefika USD 3000. Niseme tu kwa wale ambao sio wafuatiliaji wa Mambo kwa sasa GDP per Capita ni USD 1080 Ila tukitumia mfumo wa PPP (Purchasing Power...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuwe na Mkapa Day

    Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005. Hayo ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

    DR. RAMADHANI KITWANA DAU ANAVYOMKUMBUKA RAFIKI NA KIONGOZI WAKE RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA KWA NINI NAMLILIA MZEE BENJAMIN WILLIAM MKAPA Dkt. Ramadhani K Dau Ilikuwa siku ya Ijumaa tarehe 24 Julai 2020 kiasi cha saa 8 na nusu usiku kwa saa za Tanzania nilipopata simu kutoka Accra...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
  18. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Mkapa: Kijana avutia watu kwa kuvaa fulana iliyotumika kwenye kampeni ya Urais kumnadi Mzee Mkapa

    Kijana huyo amevutia waombolezaji wengi kwenye mazishi ya Hayati Mkapa kiasi kwamba kila mmoja kutamani kupiga picha naye. Sijafanikiwa kupata jina lake lakini anadaiwa kushika wadhifa wa Udiwani huko Mtwara. Ikumbukwe Mkapa amehudumu Urais kuanzia mwaka 1995 - 2005 hivyo huenda fulana hiyo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa alitengeneza uongozi wa Nchi kwa ngazi mbalimbali

    Kwa maoni yangu wakati Hayati Mzee Mkapa akiingia madarakani mwaka 1995 alianza na Mikakati ya kuweka mifumo mbalimbali ambayo hadi sasa imekuwa endelevu. Kipindi hicho ndicho kiliibua Maboresho katika Utumishi wa Umma. Hii iliendana na dhana ya ajira kwa kuzingatia sifa pamoja na kuibua...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Rais Mkapa: Kwa nini Ubalozi wa UAE Tanzania haujashusha bendera nusu mlingoti?

    Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao. Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
Back
Top Bottom