Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu.
Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana.
Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais wa Magufuli. Maana ya yake ni kuwa akiwa na agenda ya kujenga miundo mbinu, tutamwambia Wajerumani walianza kujenga miundo awamu ya kwanza walifanya, awamu ya pili, awamu ya tatu na ya nne.
Amesema hayuko huru sana, kwani waliomdhuru bado wanaitwa watu wasiojulikana. Lakini anaamini ni jukumu la vyombo vya usalama kulinda raia wake.