Nukuu maarufu za Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Mdolidoli

JF-Expert Member
Jun 9, 2020
221
242
Nimejaribu kuzitafakari quotes za Mzee Mkapa na kugundua ni quotes zilizokuwa na maana kubwa sana.

Hazikuwa quotes za kisiasa, kikanjanja na za kulaghai wananchi bali zilijaa ukweli na uhalisia.

Tujikumbushe kidogo hizo quotes
1. Ukweli na Uwazi
2. Mtaji wa Maskini ni Nguvu Zake
mwenyewe
3. Sala na Kazi

Hakika tumepoteza kiongozi mahiri aliyewahi kutokea katika Taifa hili.

Tunamshukuru Mungu kwa zawadi aliyotupa ya kupata bahati ya kuongozwa na Mzee Mkapa🙏

Asante sana Mzee Mkapa🙌
 
Kwa wale ambao mmesoma Songea Boys', pale library pana quote moja matata sana.. ngoja niijaribu kuikumbuka, maana kitambo kidogo.

"Tunafanya kila tuwezalo kuwapa elimu, lakini uamuzi wa kuitumia elimu hiyo ni wenu, tambueni kuwa upo mzigo mkubwa sana wa kuongoza hii nchi unawasubiri, someni kwa bidii sana, msituangushe, na zaidi sana msipate ukimwi"

Quote ilikuwa inanipa nguvu sana ya kusoma hakika!!
 
Hv unajua wapumbavu na malofa walikuwa wanaambiwa kina nani !!?
au nyie ndio wale wa kudandia mastory bila kujua sentesi nzima iliyosemwa!!?
Tuliona na kusikia wenyewe kupitia Luninga Live kutoka viwanja vya jangwani, (R.I.P viwanja vya jangwani) R.I.P Mr. Clean
 
"You Can Prevent your mouth from talking,

But you can't Prevent Your Ears From Hearing.."
 
Kwa wale ambao mmesoma Songea Boys', pale library pana quote moja matata sana.. ngoja niijaribu kuikumbuka, maana kitambo kidogo.

"Tunafanya kila tuwezalo kuwapa elimu, lakini uamuzi wa kuitumia elimu hiyo ni wenu, tambueni kuwa upo mzigo mkubwa sana wa kuongoza hii nchi unawasubiri, someni kwa bidii sana, msituangushe, na zaidi sana msipate ukimwi"

Quote ilikuwa inanipa nguvu sana ya kusoma hakika!!
The best quote of all the time from the Late his Excellency Mkapa.
 
Asante mods kwa kuweka thread title in Swahili neno nukuu lilinipotea kabisa😊
 
Lofa sio tusi...
Wananchi mnalipa kodi na kodi zenu zinajenga nchi yenu na kuwaandalia viongozi njia njema ya kupumzika.....
Nchi imefikia uchumi wa kati Ila mtaani hakuna hela ziko serikalini..
Mamlaka za ukusanyaji zinakula rushwa na kuwasamehe kodi walio na Pesa huku zikiwabana maskini kulipa kodi kubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom