Klabu ya AS Roma (Italy) yatoa neno msiba wa Mkapa

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Imagine Klabu ya soka ya AS ROMA ya nchini italia ina ukurasa maalum wa twitter wa kiswahili na hata tarehe 24 july walitoa hisia zao kuhusiana na kifo cha Rais mstaafu B.W. Mkapa, ni wakati sasa wa vilabu vyetu kuwa na kurasa maalum za Kiingereza.


saroma.jpg

saroma123.jpg
 
Ukija huku bongo unakutana na timu inaitwa yanga ambayo kocha wake anatukana raia
 
Ni jambo zuri ila tujiridhishe kama kweli ni "AS ROMA" real au ni ile tandalee kwa muuza mbwa
 
Back
Top Bottom