Mazishi ya Mzee Mkapa: Kijana avutia watu kwa kuvaa fulana iliyotumika kwenye kampeni ya Urais kumnadi Mzee Mkapa

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
870
1,000
Kijana huyo amevutia waombolezaji wengi kwenye mazishi ya Hayati Mkapa kiasi kwamba kila mmoja kutamani kupiga picha naye. Sijafanikiwa kupata jina lake lakini anadaiwa kushika wadhifa wa Udiwani huko Mtwara.

Ikumbukwe Mkapa amehudumu Urais kuanzia mwaka 1995 - 2005 hivyo huenda fulana hiyo ilitengenezwa kati ya 1995 na 2000 wakati wa kampeni za kumnadi Hayati Mkapa.

Je, unahisi fulana hiyo itakuwa na umri gani?

Lupaso1.jpg
Lupaso2.jpg

Lupaso 3.jpg
 

Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
976
1,000
Hizi ndiyo Swagger ambazo sizifagiliii, Mtu anapotumika Kama mtaji au nguvu kwa watu FULANI kufika hatua FULANI,

halafu anashindwa kujitambua na mbaya zaidi akiwa anaamini kuwa Umaskini ni Vazi la ufahari.
 

SPYMATE

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
1,272
2,000
Miaka 20 imepita na Tshirt bado ina mtosha kama kaishona leo. Amaa kweli haya ni maajabu ya uchumi wa kati.
BTW Sio mwananchi wa 'Kawaida' Identity yake itatambulika hivi punde.
Hizo flana zitakuwa ni za baba yake huyo kijana na uenda alichukua nyingi kipindi hicho so dogo ķafunua mchago na kuibuka nayo hiyo kuuza nyago
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom