mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Thabo Mbeki’s reflections on the legacy of Benjamin Mkapa

    My take: Excuse my French and pardon my vernacular, Thabo Mbeki knows his ‘shit’. I tip my hat off to him. To get what I’m talking about, watch the video of him reflecting on the passing of our 3rd president, Benjamin Mkapa. President Mbeki seems to know our [Tanzanian] history better than a...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hapana: Serikali bado haijampa heshima stahiki Mzee wetu Benjamin Mkapa

    Rais Mstaafu kafariki, Taifa limetangaziwa msiba huu mzito, kesho yake shughuli za serikali zinaendelea kama kawaida. Hata watoto kwenda shule wakaenda! Ligi za mpira zinaendelea wakati mwili wa mzee wetu ukiwa umelala katika viwanja vya uwanja pale Uhuru Stadium Mwili wa Mzee wetu unatolewa...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani. Kwa Vijana...
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mkapa alianzisha TRA?

    Ni vizuri kukawepo na ukweli zinapoandikwa historia za Viongozi wetu na historia ya nchi yetu Kwa ujumla.. Nimesikia mara kadhaa watu wakisema Rais Magufuli kajenga daraja la Kigambon na nabaki na maswali mengi.. Sasa hili la Mkapa kuunda TRA pia linanitatiza sana ..kivipi? Nimemsikia mara...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri. Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo. Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mkapa alikuwa na mafaili ya wengi wasio wasafi CCM na Serikalini, Mzee Mangula simama imara kwenye kuchuja wagombea

    Mkapa alitusaidia Kama nchi kupata Raisi Safi Magufuli sababu alikuwa na mafaili ya wezi, mafisadi na vibaka ndani ya CCM na serikali. Angekuwa hai angesaidia mno mchakato wa kuchuja watia Nia ubunge na udiwani sababu aliwajua wengi in and out Mkapa ndie alisaidia nchi kupata Raisi Magufuli...
  7. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

    Tarehe 28/12/2019 niliandika kuhusu Mzee Mkapa kichwa Cha habari kikisema Nini maana ya Legacy? Niliandika naomba Kunukuu:- "Natamani sana kujua wasaidizi wa Rais Mkapa alioingia nao madarakani 1995. Kama kuna mtu ameacha Legacy ya kutosha kwenye nchi hii japokuwa hatuoni kwa macho ya kawaida...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

    Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri. Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani. Nawatakia Dominica...
  9. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Mwibara, Mutamwega Mgaywa apitishwa na Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kugombea Urais

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mwibara kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 Mheshimiwa MUTAMWEGA MGAYWA amepitishwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi octoba...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Cardiac Arrest: The silent killer

    What is cardiac arrest? Cardiac arrest is the abrupt loss of heart function in a person who may or may not have been diagnosed with heart disease. It can come on suddenly, or in the wake of other symptoms. Cardiac arrest is often fatal, if appropriate steps aren’t taken immediately. Each year in...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mkapa kaondoka, je nani atamfunga paka Kengele?

    Ni siri iliyo wazi kuwa Hayati Benjamin Mkapa alikuwa nguzo muhimu sana CCM haswa katika utawala huu wa Magufuli. Mkapa alikua mtu pekee ambae alikua haogopi kumpa Magufuli za uso. Magufuli mwenyewe alikua sio tu anamheshimu sana, bali alikua anamchukulia kama baba yake maana Mkapa ndiye...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Napinga Mkapa kupongezwa kwa kuandika kitabu kinachoeleza makandokando yake

    Laiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki alichoandika sitathubutu kumpongeza hata chembe. Benjamini Mkapa mtu aliyeingia madarakani baada ya kuapa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hivi, ndege ya Rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

    WAKUBWA, HIVI ILE NDEGE ALIYONUNUA MKAPA NA MRAMBA NDO ILE ANAYOTEMBELEA KIKWETE? AU WALIIPAKI SEHEMU, NAOMBENI UPDATES, wengi humu hatujui.
Back
Top Bottom