miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM Simiyu Yaridhishwa na Utkelezaji wa Miradi ya RUWASA Inayotekelezwa Ndani ya Mkoa wa Simiyu

    KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Maji inayofanywa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoani humo ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2025 huduma ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini aagiza Miradi ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Geita kukamilika kwa wakati

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha Ujenzi wa Miradi yote kwa wakati na kuzingatia ubora. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo Novemba 25, 2023...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Komredi Shemsa Mohammed Aitaka Serikali Kutenga Fedha Kukamilisha Miradi ya SEQUIP & BOOST Mkoani Simiyu

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimeitaka serikali kutenga bajeti ili kukamilisha maboma ya zanahati, vyumba vya madarasa, nyumba za walimu ambazo zimejengwa kwa nguvu za wananchi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, Shemsa Mohammed wakati akiongea kwa nyakati tofauti na...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

    Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Hapa naipongeza Serikali; Kuongeza thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na Wazawa kutoka Bilioni 10 hadi Bilioni 50 ni jambo jema

    Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Dkt...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Wakikagua Miradi ya Umwagiliaji Arusha, Tabora na Iringa

    Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti mkoani Arusha kufuatilia utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji kwenye mashamba ya utafiti- TARI na Mashamba ya Uzalishaji wa Mbegu- ASA. Pia, Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ilifika kwenye shamba la Mbegu Kilimi Nzega, Tabora kufuatilia utekelezaji za mradi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nani anatoa fedha za miradi, Rais au Serikali kutokana na bajeti yake?

    Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe. Je, ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Aitaka Halmashauri ya Wilaya ya Singida Kuwa na Miradi ya Maendeleo Kuongeza Ukusanyaji Mapato

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi wa Halmashauri hiyo. Pia, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yaridhishwa Miradi ya Umwagiliaji Mashamba ya TARI na ASA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na usimamizi wa fedha ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji katika mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Mbegu (TARI) pamoja na Mashamba ya Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA) ikiwemo shamba la mbegu Ngaramtoni pamoja na shamba la mbogamboga Tengeru mkoani...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

    Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia hiyo Kwa upande mwingine...
  11. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Suala la miradi kusuasua, wote tubebe lawama maana tulipaswa kubeba jukumu kwanza

    Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia; Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni Mwananchi anamlaumu kiongozi Mkandarasi anamlaumu serikali Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Vijana lazima wawe washiriki hai na wanufaika muhimu katika miradi ya Ukanda Mmoja, Njia Moja

    Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa pamoja na maendeleo endelevu duniani kote kupitia uratibu imara wa sera, muunganisho, biashara isiyo na...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 23 Zimeelekezwa Kwenye Miradi ya Maendeleo Wanging'ombe

    NAIBU WAZIRI DUGANGE: BILIONI 23 ZIMEELEKEZWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO WANGING'OMBE ZAIDI ya Sh. Bilioni 23 zimepelekwa katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya afya, elimu na barabara katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Miradi ya mwanamfalme MBS kuibadili Saudi Arabia kuwa pepo ya dunia yaingia ukorofi

    Waislamu duniani mara zote wanapopatwa na shida walitegemea wapate utetezi wa hali ya juu kutoka kwa utawala wa Saudi Arabia kwanza kabla ya kwengine kokote.Misaad hiyo ingeweza kuwa ya kimali,kijeshi na hata kauli za kisiasa. Kinyume chake mara zote kumetokea maangamizi mabaya kwa waislamu bila...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

    SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika. Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa. Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina Ashauri Mwenge wa Uhuru Upitie Miradi Yote

    MBUNGE LUHAGA MPINA ASHAURI MWENGE WA UHURU UPITIE MIRADI YOTE Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina ameishauri Serikali kurekebisha muundo wa mbio za Mwenge wa uhuru badala ya kupita kwenye Miradi ya Halmashauri pekee ipite na kwenye Miradi Yote Akizungumza na waandishi wa habari...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania UVCCM tuanzishe miradi ya Kimkakati kutengeneza ajira

    Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu. Kwa kuanzia tunaweza kuanza na, 1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika pakiti, 2. Viwanda vya juice ya matunda, 3. Karakana za ukarabati wa mitambo ya Kilimo na magari...
Back
Top Bottom