miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Kasheku Msukuma ataka Magufuli apewe Mihula minne ya Miaka 20 ili kukamilisha miradi

    Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru. Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu. Hata hivyo akiichagiza ushauri huo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa miradi ya RUWASA

    Waungwana naomba nifahamu mshahara wa msimamizi wa jumuiya miradai ya usambazaji wa maji vijijini RUWASA.
  3. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa miradi ya SGR na Stieglers' Gorge isikamilike

    Hizi nchi zetu masikini ikitokea changamoto kidogo ni shida kubwa sana. Tanzania inategemea mapato ya utalii kwa zaidi ya 25%. Utalii mwaka huu ni kama umekufa kabisa kama sio uko chini ya 2%. Hasa kipindi hiki cha March hadi June hua kuna watalii wengi sana nchi hii, ila sababu ya corona kila...
Back
Top Bottom