miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Byabato: Serikali imetoa Sh Bilioni 15 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Bukoba

    Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa miradi ya maendeleo imetolewa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418. Taarifa hii inawasilisha matokeo ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Sendiga atoa maelekezo miradi inayotekelezwa Mirerani

    RC Sendiga atoa maelekezo miradi inayotekelezwa Mirerani Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo mapema akiwa kwenye ziara yake katika Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Naepo...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiwa maskini, huna miradi lazima uwe kondoo mbele ya bosi wako. Hakikisha una miradi usiwe kondoo

    Hello! Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa. Hao ndio hufokewa kila mda...
  5. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema. 2. Madege:- Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa simamia na kukamilisha miradi ya barabara za Dar au ujiuzulu na kumpisha anayeweza

    Niaje waungwana Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia. Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

    Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji? Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?

    Umejengwa utamaduni wa ajabu kwa kutoa Sifa kwa viongozi wa kisiasa wanaposimamia utekelezwaji wa miradi ya kitaifa, na kusahaulika Mwananchi ambaye ndiye aliyemwaga jasho kutafuta pesa na kuipa kodi kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo. Sifa hizo kwa sasa zimeenda mbali zaidi kusifia hata pale...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Rais Samia anaenzi maono ya Hayati Magufuli kwa vitendo ikiwemo kutekeleza Miradi mikubwa

    Maono ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya Kitaifa kama Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Ujenzi wa barabara na madaraja makubwa kama vile Daraja la Kigongo - Busisi yametekelezwa na yanaendelea...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazawa watakiwa kupewa kipaumbele katika miradi ya AfDB

    Waziri wa Fedha. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kuangalia uwezekano wa kuboresha Sheria yake ya Ununuzi ili miradi inayotekelezwa kupitia ufadhili wa Benki hiyo iweze kuwanufaisha wakandarasi wa ndani. Dkt. Nchemba alitoa rai hiyo jijini Dodoma...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yawasili Singida kukagua miradi ya Sekta ya Ujenzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024. Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Brigedia Jenerali Mwanziva Aishukuru Taasisi ya WRAIR-DoD kwa Miradi Inayotekelezwa Katika Hospitali ya Kijeshi ya Mbalizi

    Hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Hospitali ya Kijeshi ya Mbalizi ikihudhuriwa na Brigedia Jenerali wa JWTZ Charles Mwanziva, Mwambata wa Kijeshi wa Ubalozi wa MarekaniLuteni Kanali Gerald Mathis, Mkurugenzi Mkazi wa WRAIR-DoD Tanzania, Mark Breda na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zubeida Shaib atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini

    MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa yanayokarabatiwa fedha za mfuko wa Jimbo katika Skuli ya Msingi Kihinani Pia, Mhe. Zubeida Khamis Shaib...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mameneja wa TANROADS wasiosimamia miradi kikamilifu kuanza kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), kuwachukulia hatua Mameneja wa Mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara na madaraja kwa viwango na kupelekea miumbombinu kuharibika ndani ya muda mfupi. Bashungwa ametoa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini: Wenye vikundi muandae miradi itayowawezesha kukopa pesa ndefu nawapigia debe

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amewataka Wananchi waliopo kwenye Vikundi kuandaa miradi mikubwa itakayowawezesha kukopa kiwango kikubwa cha fedha za Serikali isiyokuwa na riba. Akizungumza Februari 21, 2024 katika hafla fupi ya kuvunja...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yawakingia Kifua Wakandarasi Wazawa Katika Utekelezaji wa Miradi ya Benki ya Dunia

    SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ili kutoa fursa kwa Wakandarasi wazawa kushiriki...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe: Force Account Idhibitiwe Katika Kutekeleza Miradi

    Mbunge Twaha Mpembenwe: Force Account Idhibitiwe Katika Kutekeleza Miradi WABUNGE wametilia shaka matumizi ya Force Account katika kutekeleza baadhi ya miradi ya Serikali. Wawakilishi hao wa wananchi wameonesha wasiwasi wao huo wakati wa mjadala wa hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu...
Back
Top Bottom