DOKEZO Rais Samia, unahujumiwa huku Morogoro katika miradi. Agiza uchunguzi wa haraka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kwa kipindi kirefu sasa rais wetu, mama Samia Suluhu Hassan amekuwa akihangaika kubuni mbinu mbalimbali kwa lengo la kutatua kero za wananchi.

Sisi wananchi wa kata ya Lukobe, Morogoro tunathamini na kuunga mkono juhudi hizo. Ila kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watendaji wake hawathamini juhudi hizo na ni kama kuna hujuma za makusudi.

Hili linadhihirika kwa watendaji wa ngazi zote za serikali kuanzia kitongoji (Mgudeni) hadi mkoa (Morogoro) ambapo miradi karibu yote haikamiliki na hakuna hata ufuatiliaji wala uwajibishwaji.

Kwa ufupi; barabara zetu hazipitiki kwa sababu zina mitaro na sio mashimo, yaani hakuna hata ukarabati wa kawaida. Kinachosikitisha zaidi ni upigaji wa wazi (hata maamuma anang'amua) wa pesa za miradi na hakuna uwajibishwaji. Hayo yapo katika miradi mbalimbali ambayo utekelezaji wake hauridhishi hata chembe ikiwemo ujenzi wa mfereji wa kuzuia mafuriko kandokando ya barabara kati ya Kwawagogo hadi Mgudeni ambapo pesa imeliwa na sasa mifereji imegeuka mahandaki na mazalia ya mbu.

Mradi mwingine dhaifu ni wa mamlaka ya maji (MORUWASA) ambapo imechimba mitaro ya kupitisha bomba za maji kando kando ya mifereji (mahandaki) iliyotelekezwa na TARURA na kwa pamoja wamevuruga kabisa hata njia za miguu hivyo kukatisha kabisa mawasiliano ya barabara kati ya mgudeni na sehemu za jirani.

Mbali na miundombinu mibovu, kata ya Lukobe imesharipotiwa katika vyombo mbalibali kuwa kinara cha uhalifu na hakuna hatua madhubuti zinazochukuliwa.

Kwa ujumla wananchi tumechoka ila hatuna pa kukimbilia. Tunaomba raisi wetu, Mh. Dkt Samia Suluhu angalau atusaidie kuwaamsha viongozi wetu waliolala.
 
Aliaguza kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.

Tusilalamike wala kulaumu walao, aliyeruhusu ndo hatufai
 
Mimi niko hapa hakuna hicho kitu.
Mradi wa maji kazi inaendelea
Barabara zinajengwa kwa kasi
Nahisi mleta mada amenyimwa kitu
 
Binafsi nachukia sana fitna za kijinga
 
Waluguru ndio maana hawaendelei ni watu wa majungu sana,

Morogoro kwa rasilimali ilizonazo ingekuwa mbali sana but what, Jamaa masikiniiii, roho mbaya sana
 
Back
Top Bottom