mimi

  1. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji na mitaa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Faili la Makabidhiano ya Urais wa JMT na yaliyomo ndani kwa mtazamo wangu Mimi

    Habari za pilika Wana JF Wenzangu. Niende madani. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza kwenye faili la Makabidhiano ya Urais Kuna nini ndani yake? Niliwaza hili wakati Rais Mkapa akikabidhi nchi kwa Rais Kikwete na Pia wakati Kikwete naye akimkabidhi Rais Magufuli. Hili jambo ni Muhimu kwani huu...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugai: Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua Wabunge wote. Hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai. Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kimepokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya iliyowahusisha Wasanii Belle 9 na Bonge la nyau. Polepole amewatakia uponyaji wa haraka na kwamba chama kinafuatilia kwa karibu tukio na chanzo cha ajali hiyo. Source Ayo tv Maendeleo hayana vyama! ===...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

    Kuna kipindi mdogo wa rafiki yangu nilimpa hifadhi kwangu kesho yake aendelee na safari, dogo alivyokuja hakuwa na ndevu za kunyoa na anavyoondoka hakunyoa wala kupunguza nywele zozote kichwani lakinj siku aliyoondoka narudi gheto naona mashine ya kunyolea ndevu imetumika na kwenye tundu ls...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je upo kama mimi? Nina marafiki wachache wa kweli, nawaza sana siku wakiniacha peke yangu

    Yes, najua kaka zako, dada zako, wadogo zako au familia yako ya wewe na mkeo/mumeo pamoja na watoto ni muhimu kuliko marafiki zako lakini haimaanishi mtu usiwe na marafiki, marafiki ni watu muhimu pia(kwa kiasi) Nakumbuka zamani nilikuwa na marafiki wengi sana, shule ya msingi ndio nilikuwa nao...
  7. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
  9. SlimFit

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutofuata miiko ya matumizi ya silaha, Aliyoyafanya "Ukiwaona" almanusura nifanyiwe mimi

    Salamu na Utangulizi Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

    Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge. Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape. My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu. Maendeleo hayana vyama!
  11. G

    JamiiForums Tanzania TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi. Hili nililitegemea.
  12. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Ndugu wananiita mchawi wakati walilelewa na baba yangu mzazi

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana wa miaka 37 kwetu tumezaliwa 2 tu, ila kuna ndugu zangu kama wanne (4) walilelewa na baba yangu mzazi katika makuzi yao, baada ya baba yangu kunifukuza nyumbani miezi 5 sasa imepita kisa tu nilimbembeleza kujiunga na chama changu cha mapinduzi, vile vile...
  13. Chris Mungoreme

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible? ===== Habari wanaJF, Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na...
  14. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Mimi na Benard Morrison

    Ulihitaji macho na sekunde kadhaa kugundua kipaji cha ajabu Ambacho Mungu alikiweka KWENYE mguu wangu wa kushoto. KAMA TAIFA HATUNA HAJA YA KUWATAFUTA KINA MORRISON WA GHANA NA KWINGINEKO TUTENGENEZE MAZINGIRA YA KUWAPATA HAPA HAPA NYUMBANI Wepesi wa akili maamuzi ya haraka na sahihi, speed...
  15. 2019

    JamiiForums Tanzania Mimi sio mfuasi wa Gwajima lakini kumshambulia Pengo alikuwa sawa. Wapinzani acheni unafiki

    Kweli naamini mpinzani mpinzani tu,hata anaweza kupingana na mama yake kuhusu baba yake halisi. Mimi sio mwanasiasa,sina chama ni staff. Tujikumbushe Gwajima alikua wapi wakati anamshambulia mzee Pengo,katika utawala wa Kikwete Gwajima alikua mnazi haswa wa upinzani. Kilichofanya amshambulie...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe afurahishwa na uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM, awakaribisha ACT-Wazalendo wale waliokatwa

    Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye. Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee. Ameandika katika akaunti yake ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

    Habari wadau, Kuna jambo moja linakera ila naona wengine kama wanaona ni vizuri kwao, sasa inanifanya nijiulize nina matatizo au vipi. Ni kuhusu kupeana vitu na watu, hasa nyumbani na majirani. Sitaki Jirani anipe vitu vyake wala sitaki aniombe vya kwangu, labda awe ametokewa na shida ya kweli...
  18. Mag3

    JamiiForums Tanzania "Msininyanyase, mimi si mpinzani," kada wa CCM awaasa Jeshi la Polisi

    "Msininyanyase, mimi si mpinzani," alisikika kada wa CCM wakati polisi wakimbembeleza kama mwana mtukutu apande gari wamsindikize kwenye tawi lao mjini Dodoma baada ya kufanya maandamano wakilalamikia uteuzi wa wagombea wao. Bila shaka angekuwa mpinzani hicho kipigo ambacho angekipata...
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Lissu 100% mimi ni shuhuda na muhanga

    Mimi sio mwanasiasa wala sina chama nimempenda sana Magufuli kwa kiasi chake. Katika kasoro kubwa katika utawala huu ni mamlaka ya kukusanya kodi yani TRA. Kwanza unakadiriwa kodi au kupandishiwa muda wanaotaka wao,kama una biff na afisa utakayemkuta ndio atakuangamiza kabisa. Kuna watu...
  20. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Hili mimi ntalisema Tu. Kama watanichukia wanichukie Potelea Mbali

    UKWELI LAZIMA USEMWE Simba Vs Yanga SIMBA Imeshakamilisha usajili. Haijaacha hata mchezaji mmoja wa first-eleven ya msimu uliopita. Kocha amesharejea. Inaanza maandalizi leo. YANGA Inaendelea na usajili. Wanasubiri anga lifunguke, ili wachezaji toka nje waweze kuwasili. Anga gani wanalotoka...
Back
Top Bottom