Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,958
2,000
Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge.

Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape.

My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu.

Maendeleo hayana vyama!
 

mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,131
2,000
Huyu Nape hafai hata kusikiliza! Kijana gani unapanga uovu dhidi ya wenzako ili msikutane ulingoni! Kifupi Nape ni Nepi tu mbendembende mlaini ka bwabwa liliochoka kupanuliwa! halafu anaita wivu stupid! Pita bila kupingwa lakini huna heshima yoyote!
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
46,333
2,000
1598865588003.jpeg
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
20,331
2,000
Hawa kina Robati si kama hawa wanasheria wetu ambao mwisho wao kwa kusimamia kesi ni hapo kisutu. Hawa wanafika hadi ze hegi pia hawa jamaa wana uwezo wa kupeleka malalamiko ya kisheria hata UN, na UN wakafanya action kama kuna ulazima kuishughulikia nchi husika iliyokiuka kwa makusudi mikaaba ya kimataifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom