Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda...
Filimbi ya uchaguzi mkuu imeshapulizwa kwenye vyama vya siasa hapa nchini. Walio wanasiasa na wanachama wa vyama husika, tayari wametingwa na harakati za uchaguzi ndani ya vyama vyao na hata wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Mijadala mingi mitaani na mitandaoni ni kuhusu hatma ya Wabunge wa...
Wakuu habari,
Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM.
Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu.
Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa...
Nimemsikia Mbunge mmoja akiongea Bungeni akitaka Bunge libadilishe Katiba ya Nchi ili kumfanya Rais Magufuli aendelee kutawala hata baada ya kumaliza kipindi chake cha kikatiba cha miaka 10. Kama hilo halitoshi, Spika Ndugai amesikika akimhakikishia Mbunge husika kuwa kazi hiyo ya kubadilisha...
Mwaka flani nikiwa sekondari likizo nlienda kwa babu.babu yangu ni mwindaji miaka mingi sana.anafahamika kijijini. Na zaidi zaidi ni mpenzi wa nyama ile mbaya. Huwa hatumii maharage hata kwa shida. Yeye ni nyama na anajua namna ya kuitunza hata mwezi akaila.
Nlikuwa form four mzee alinambia...
Habari za mida hii wana jukwaa,
Mimi ni mgeni wenu, Baada ya kukaa muda mrefu kama mchunguliaji tu hapa jukwaani; leo nimechukua hatua moja zaidi na kuamua kujiunga na kuwa sehemu ya wanachama wa jukwaa hili adhimu lililosheheni elimu na maarifa mbalimbali.
Wasalam.
Habari member wenzangu wa JF,
Mimi ninamtafuta baba yangu ambaye hata kwa sura simfahamu ila kwa maelezo ya mama jina la baba ni STANLEY JACOB FIFI na ni mwenyeji wa IRINGA lakini alikuwa anafanya kazi Dar na huko ndiko walikokutana na mama.
Mama hajawa muwazi kwangu nahisi pengine...
Katika sekta ya utalii nchini ambayo Rais Magufuli amesema itarejesha huduma zote wiki ijayo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amebainisha kuwa tayari baadhi ya watalii wameshaanza kuingia nchini.
Ndugu habari zenu mie naitwa Ukuta wa dhahabu ni mgeni hapa katika jamii forums naomba kukaribishwa na wenyeji wa hapa jf pia kunipa ushirikiano na muongozo wa kutumia mtandao huu wa jamii asanten
Wanabodi,
Wenye access fuatilieni hii
Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada.
Watangazaji...
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru...
Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu wa kupandisha mashetani sijui hii imekaaje kila demu ninaye date nae lazima atakuwa na hii shida...
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa...
Habari zenu jamani,
Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
Nina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na mimi nimempenda Kiana tatizo ndoa yangu
Mh Rais na viongoz wote wa Taifa hili mimi napingana na Prof Luoga eti uchumi wetu upo on Track na eti tuna hazina kubwa ya USD. Mimi nakataa nakataa kwa elimu hii hii mlionipa nawaambia no na mh Rais nakuomba usikubali majibu marahisi kwenye majibu magumu.
Kwanza nilazima tukumbuke Bop ya...
Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote.
Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona.
Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
Jamaa kwake ana mtoto wa kike wa rafiki yake ile kisasa wanaitana 'family friend'.
Mtoto huyu yupo Form 4. Aliletwa kwa jamaa ili aweze kusoma kwa sababu Kwa jamaa kidogo mazingira ni rafiki sana, na ni karibu sana na shule. Shule zetu hizi za kata.
Binti akawa haraki kufuata utaratibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.