Mimi na Benard Morrison

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,456
11,880
Ulihitaji macho na sekunde kadhaa kugundua kipaji cha ajabu Ambacho Mungu alikiweka KWENYE mguu wangu wa kushoto.

KAMA TAIFA HATUNA HAJA YA KUWATAFUTA KINA MORRISON WA GHANA NA KWINGINEKO TUTENGENEZE MAZINGIRA YA KUWAPATA HAPA HAPA NYUMBANI

Wepesi wa akili maamuzi ya haraka na sahihi, speed kupiga mapande ya mwisho na kufunga kila Mara uwanjani.

SIKUA NAJUA CHOCHOTE MPAKA PALE WAPITA NJIA MARA KADHAA WALIPO SHINDWA KUJIZUIA NA KUJA KUNI TUZA KWA UWEZO NILIO UONYESHA UWANJANI

kitabia Mm so muongeaji sana Nakumbuka Mara kadhaa nilipo kua na enda ugenini na nikanyimwa namba. Nilijipenyeza nyuma ya UWANJA kupiga danadana Kosa kubwa lilikua Ni KUNIPA namba

Mara zote nili waacha midomo wazi wote UWANJANI...

Mabeki visiki wote kwangu waligeuka uchochoro. Mabeki wababe na wacheza rafu za kijinga wali ishia kuaibika.

Mpira ungeamua mustakakabali wa maisha YANGU lakini mm nili amini ELIMU Nika utupilia mbali mpira wa MIGUU

MIGUU yangu Ina Uwezo wa kufanya lolote muda wowote UWANJANI japo kwa sasa Ni mstaafu

"Do not let your talent die while your still alive"
 
Back
Top Bottom