Nakubaliana na Lissu 100% mimi ni shuhuda na muhanga

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Mimi sio mwanasiasa wala sina chama nimempenda sana Magufuli kwa kiasi chake. Katika kasoro kubwa katika utawala huu ni mamlaka ya kukusanya kodi yani TRA.

Kwanza unakadiriwa kodi au kupandishiwa muda wanaotaka wao,kama una biff na afisa utakayemkuta ndio atakuangamiza kabisa.

Kuna watu wanalipa kodi na kuna wengine hawalipi kodi inategemea na mtawala katoka eneo lenu.



Swali ambalo huwez pata jibu lake
NI KIGEZO GANI KINATUMIKA KUTAMBUA HUYU MTU NI MLIPA KODI NA HUYU SIO MLIPA KODI?

Mana waliofilifika wengi sasa hivi wanapiga hela kuliko kipindi wakiwa walipa kodi. Akili kichwani.

TRA inatakiwa ifumuliwe isukwe upya
 
Hakika kwa sasa kuwa mfanyabiashara mdogo ni bora kuliko kuwa mlipa kodi. Utaifanyia kaz serikali tu
 
Serikali ilifiria tu njia za kukusanya mapato bila kuangalia hali za watozwa ushuru.
 
Serikali ilifiria tu njia za kukusanya mapato bila kuangalia hali za watozwa ushuru.
Kabisa kama TRA ukikadiriwa kodi utafikiri una ugomvi nao,kodi hazilipiki ndio maana biashara nyingi zimefungwa na ongezeko kubwa la wamachinga
 
Back
Top Bottom