Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, Katika kipindi chote nilichoishi hapa duniani nimeweza kupata kujua mwafrika ni mtu wa namna gani. Mwafrika anajichukia sana ila mwafrika amepewa nguvu na akili nyingi licha ya kwamba yeye mwenyewe halijui hilo, sio kwamba hajui kwa...
Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano
1. Makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% bila sababu maalum tena kwa ubabe.
2. kutunyima...
Waungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania.
Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM...
Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA"
BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI
MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."
MWANZA
Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?
Kama kitu Watanzania wanachotaka ni maendeleo, then...
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma.
MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo.
Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA"
KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI
NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"
DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
Na sio mimi pekee tupo wengi sana na tumegawanyika ,kinachotuunganisha ni kuwa tunakaa maeneo tunayokaribiana na tunafahamiana ,tupo wafanyakazi wa mawizara mbali mbali wapo mpaka wanafunzi,na kubwa liliopo mjini ni mchosho unaosababishwa na wagombea wa CCM,ni lazima uhudhurie mikutano yao,eti...
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.
Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
Kampeni ni kunadi Sera na chama ili chama kishike dola.
Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze CCM tu ndio inanadi sera na chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi.
Kampeni kwao zimejikita zaidi kwenye u imimi sio chama ndio maana tunaona hata vyama vingine kama Chadema...
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA"
BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI
MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."
KASULU, KIGOMA.
Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
Nimeanza kuifatilia Jamii forum tangu 2011....lakini kujiunga nimejiunga mwaka huu tu, swali langu ni kwa nini watanzania wanakua siyo wapenzi wa kujisomea?
Wengi wanapenda habari fupi fupi tu tena za udaku, ushabiki wa kisiasa n.k ukiweka topic ndefu wanakwambia hiyo sisi hatusomi....fatilia...
Habari za wakati na wasaa huu ndugu zangu.
Wakuu gharama ya usafiri ya kupitisha pipa moja la mafuta kwenye bomba kutoka Uganda mpaka Tanga ni dola 12.25 Yaani hiyo ndio nauli yake.
Katika hiyo nauli sasa ambayo ni dola 12.25 Tanzania atapata asilimia 60 alafu uganda atapata asilimia 40 ya...
Ndugu,
Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA.
Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanywa na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji...
Huna haja ya kupoteza muda wako kwa mtu anaekuchukulia kama kituko.
Ukiniona kituko nakusahau kama utani.
Nakumbuka zamani kuna baadhi ya watu baadhi yao niliwaganda sana ila wao hawana time na mimi. Nilijikuta napoteza muda, pesa na hata kuziadhibu hisia zangu kwa kuruhusu kunyanyaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.