mimi

  1. Zegota

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa namshangaa mtu aliyefanikiwa kimaisha na hasaidii ndugu zake, Leo mimi natamani hata kuwapiga Risasi

    Muda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe. Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote yale yanaanza na mimi, je uko tayari kubadilika kuanzia sasa?

    Ndugu wadau, kuna misemo mingi ambayo huwa tunaisoma na kuilewa inatuasa nini, lakini huwa hatuizingatii. Hii imenifanya niwe natafakari baadhi ya mambo na kujaribu kupata majibu yake. Mfano, nimekuwa nikitafakari kwa nini baadhi yetu mara nyingi tunapochangia hoja humu jf au hata kwenye...
  4. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

    Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza. Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi...
  5. Chewa91

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani

    Nimejiunga muda sio mrefu.I hope tutashirikiana vizuri.....
  6. Joannah

    JamiiForums Tanzania Hizi wishes ni mimi tu au?

    Wananzengo habari zenu kwa ujumla. Jamani sijui ni mimi tu au kuna wenzangu wenye wishes kama zangu kwenye sex fantansy? Unajua kuna vitu vingi huwa tuna-wish kwenye suala zima la kufanya mapenzi na kuvumbua vitu tofauti ili ku-enjoy mchakato mzima wa ku-enjoy ile privacy. Binafsi huwa...
  7. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mimi ni mwana CCM ila safari hii, kura yangu tu naihamisha

    Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo. Nione...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ni maajabu enyi wabobezi wa masuala ya Bahari, Maziwa na Mito nielimisheni zaidi kuhusu hili

    Body of a man who drowned in River Nzoia retrieved after two months Mwili wa Mtu aliyezama Mto Nzoia umeonekana baada ya Miezi Miwili Citizen TV Kenya Mimi ninachojua na nilichokaririshwa na Wadau ni kwamba Mtu yoyote akizama iwe Baharini au Ziwani au Mtoni ndani ya Siku Moja tu ataonekana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT " Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

    Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu...
  13. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha nyepesi uzi huu tuelimishaneni, Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa na nani? Kweli mimi sielewi

    Habari wadau. Hivi haya madai ya tume huru ya uchaguzi sawa kama neno linavojieleza kwamba tume iwe huru lakini yaani kwamba wanaounda tume wawe watu gani kwa mfano? Mimi kwa akili zangu za kawaida tume huru inamaanisha chukua watu toka nje ya bongo yaani nchi mbali mbali walete waje waunde...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kama Kanali analia mimi ni nani?

    Kauli hii ya Rais iliharakisha nami kulia. Imeharakisha niuone haraka upande wa pili wa Rais JPM, na imeharakisha watu kumuona vingine Rais wao. RIP BWM, mbele yako nyumba yetu, siku zetu sio nyingi. Misiba inatupatia formula ya kuishi hapa duniani, maana wote iko siku tutakufa. Maswali ni...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

    Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri. Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani. Nawatakia Dominica...
  17. No Escape2

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii vita mimi na Wife

    Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari, mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Cecil Mwambe: Mimi ni CCM mwenzenu nilirudishwa bungeni na Spika Ndugai kuigiza

    Wajumbe waliopiga kura za maoni jimboni Ndanda walimbana vilivyo mtia nia Cecil Mwambe juu ya uhalali wa uanachama wake ikizingatiwa kuwa baada ya kupokelewa na komredi Polepole, Mwambe alirudi tena bungeni kuitumikia Chadema. Mwambe alikiri kurudi kwake CCM na kupokelewa na Polepole lakini...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
  20. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
Back
Top Bottom