Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara.
Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
Jamani hili jambo linanisikitisha na linaninyima raha hadi sasa.
Ni hivi miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma nilianza kufuga Rasta hadi namaliza chuo nipo na Rasta zangu ndefu tu.
Nipo Nimeingia kitaa baada tu ya kutoka chuo nikaamua nipunguze wingi wa zile Rasta, yaani niwe na Rasta tano tu...
Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha...
Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na mimi, tofauti tu yeye ni Senior na mimi nilikuwa Junior. (Soma kisa changu hiki cha ukweli kwa ufupi kabisa)
Sehemu ya Kwanza.
Baada tu ya kuhitimu chuo nje ya nchi miaka hiyo ya juzi kati nilirudi nchini na kupata kazi bila kuchelewa katika...
Ilikuwa siku nzuriiiiiiiii ya kuvutia, nikaamkia machinjioni, nikanununua figo na maini kama kilo Saba, nikapitia sokoni, nikanunua kuku watatu wa kienyeji, nikawachinja na kuwanyonyoa.
Nikanunua mboga za majani, matunda na viungo mbalimbali. Nikarudi nyumbani, nikashusha mzigo, kisha...
Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo...
Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya CCM 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali Kwa machozi kukutakia heri utukomboe sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango, huzuni, upweke na machozi. Kiasi wakati...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
---UPDATE---
Akihojiwa na shirika la...
Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo...
1. Tutatoana Roho Yarabi
2. Ujanja wa bure tu
3. Mwaka huu unalo
4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake
5. Za Mwizi 40
6. Mwosha huoshwa
7. Malipo ni hapa hapa duniani
Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM...
Iko hivi,
Niko na mpenzi ambaye tumekuwa pamoja kwa muda mpaka hivi sasa. Ila sema huyu bi dada nimeshindwa kumuelewa kwa kauli yake aliyonijibu.
Hivo kutokana na changamoto za ajira, nikampa mwenzangu wazo kuwa kwa sasa nataka nianze kutengeneza Juice niwe ninauza maofisini na hata kwenye...
Hili jambo sikuwa napenda sana kuwahadithia wadau. Lakini leo naona niwape kisa hiki kilichonipata miaka ya 2000s.
Mimi nimekulia Sinza kivulini kwa miaka yangu yote na washkaji kibao ambao wengi walienda Usa na South Afrika. Bongo tulibaki wachache sana ktk group letu. Akina Mandawe na Jitu...
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?
Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni...
Je,
1. Mlipozima mliagizwa au ni kiherehere chenu tu cha kutaka Sifa wana Ubungo Tower?
2. Hasara ambayo nchi hasa TRA imeipata na Makampuni mengine Makubwa nchini italipwa nanyi Ubungo Tower?
3. Kutuzimia Kwenu mnadhani mmefikia Lengo au wana Ubungo Tower mmeshadharaulika na Watanzania?
4...
Ni mwaka na nusu sasa nina mchepuko wangu ni Traffic. Naenjoy sana. Huwa haniombi pesa na nikijifanya kutaka kumpa anacheka sana. Ananambia yeye mtaji wake ni Uniform tu akitinga hizo akaenda simama barabarani ndani ya dk 20 ana zaidi ya 70,000. Anajua mitego ya sehemu watu wana fanya makosa...
Wasalaam wanabodi,
Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea.
Chama tawala CCM walianza kwa kishindo kikubwa pale dodoma na kuonesha ukubwa wa idadi ya...
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu
Chanzo: Mwananchi online
====
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Habari zenu wana-MMU.
Nataka maoni yenu katika hili swala. Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa.
Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto katika maisha yangu yote ila nataka kuoa niwe na mke TU. Hii ni kawaida sana kwa nchi za ulaya na...
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete.
Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.