mimi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

    Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri. Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaki kupatanishwa na Upinzani

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya watu wenye lengo la 'kumpatanisha' yeye na upande wa upinzani baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliompa ushindi kuongoza muhula wa sita. Huku upande wa upinzani unaoongozwa na msanii Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine aliyeshika nafasi ya pili miongoni...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Mimi ni mzungu kabisa mtaamini? Au mtakataa?

    Mimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

    Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli. Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino. kwa sasa nimeo na mke wangu ni mweusi, na hata hapo zamani nilikuwa kinganganizi msumbufu mno kuhakikisha binti...
  5. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

    Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince. Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini. Kwani ni lengo lao...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mimi Nasoma HGL, hivi chuo naweza kusomea Geology?

    Mimi nasoma HGL hivi chuo naweza kusomea GEOLOGY?
  8. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

    Habari za majukumu wana JF education? Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu. Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk. Naomba msaada wa kutimiza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Umuhimu wake Kiuchumi kama kuna Habari ambayo nilidhani tungeijadili kwa Kina leo ni hii.......

    This' why most tourists do not return to Tanzania after first visit? Kwanini Watalii wengi wakiitembelea Tanzania mara ya Kwanza hawarudi tena? Taarifa: The Citizen Online na The Citizen Newspaper la leo. Kama labda Wanyama wetu au pengine hata Sisi huwa tunanuka bila kujijua hivyo tunawakera...
  11. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

    Wakuu! Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa. Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania GONE REGGAE: Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana "The Gambler"

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hivi hii korosho ni mimi ndo naiyona tu peke angu au ni kichwa changu kinanidanganya

    naona kama inafoka huku nyenzake pembeni zinamuangalia, naona kama naifananisha .... lakini naishia kunyamaza,
  14. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Chimbo la suti kali Kariakoo jamani. Kwa bei poa, nipendeze na mimi

    Nataka nika point kitu kikali, kitu cha suti kwa bei nzuri lakini. Chimbo gani Kariakoo waungwana?
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

    Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
  16. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya part time, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza

    ...
  17. J

    JamiiForums Tanzania DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria. Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya. Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama nyumba ya ibada imenikuta ninapoishi na ibada zao zinasababisha kelele kubwa, ninaweza kuiomba Mahakama kuwaondoa?

    Nadhani kichwa changu kinajieleza. Mfano msikiti au kanisa wamenikuta mahali ninapoishi na ibada zao mimi kwangu zinanikosesha amani, je naweza kuiomba Mahakama iwaondoe wanipishe? Au ninunue eneo lao?
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kugawa mali/vitu vyako vya zamani kwa ndugu, jamaa au rafiki?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; UTANGULIZI ===== Ndugu zangu, umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini unakatisha uhai wa watu wengi wangali wadogo sana kwa sababu tu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Umasikini ndio chanzo cha...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nilibarikiwa na Papa John Paul II mwaka 1990 nikiwa mtoto leo hii najiona mimi ni kama askofu

    Mwaka 1990 nchi yetu ilipata bahati ya kutembelewa na viongozi wawili wakubwa duniani mmoja wa kisiasa mwingine wa kidini. Papa John na Mandela. Wakati papa John amekuja Tanzania baba alinibeba begani papa akaniona nikiwa juu ya bega la baba alinibusu na kunibariki. Leo najiona nina upako wa...
Back
Top Bottom