mimi

  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana Watoto wanne kutoka kwa baba wanne tofauti mimi nataka kupewa Uuncle mbuzi. Never, Mjipange Wanawake

    Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil, watatu wana baba tofaut tofaut. Mimi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi. Naumwa toka last week. Sometimes nakuwa fresh then nakuta kichwa kinawaka moto mpaka kizunguzungu. Ninepima Typhoid, Malaria, UTI, Pressure, kiwango cha...
  2. Slowly

    JamiiForums Tanzania Pigo za Mimi mars mmezielewa

    Aisee😋😋😋
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume rijali ninaeogopa madudu washawasha na umbali wa kutoka juu hadi chini

    Kusema ukweli Mimi ni rijali na vigezo vifuatavyo vinathibitisha Hilo. Nina six pack Mrefu Mweusi Katili kidogo Sijawahi kupigwa kwenye ngumi. Nk Ila udhaifu wangu ukitaka nilie kama mtoto mdogo nirushie dudu washawasha lenye manyoya na likitembea linajinyonga nyonga. Uoga wangu wa pili ni...
  4. mqaxy

    JamiiForums Tanzania Sijui nifanyaje mimi...

    Habari za sasa wakuu, mpaka naandika uzi huu nipo njia panda sijui nielekee wapi? Sijui nifanyaje mimi!? Ni muda sasa tangu mpenzi wangu aanze kulalamika anasumbuliwa na jamaa mmoja hivi (ambayo ni kilema) Sasa anasema anamuonea huruma kwahiyo anataka amkubalie. Dah! Sasa mimi sielewi...
  5. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Hii ni tabia mbaya nionavyo mimi, kwa mashoga na madogo wa mke

    Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo? Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la wawili tu mimi na wewe na wakati huo kuna bafu tena la ndani hapo kwenye korido? Nashangaa we dogo...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimeelewa kwaninj wanawake wanataka wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 30

    Habarini wanajukwaa. Mwezi ujao naingia miaka 31 kwa sasa nipo ukingoni mwa 30. Kwa nipo na mke wangu tukiwa na watoto wawili. Maishani mwangu nilianza rasmi kuwa na mahusiano serious ya kimapenzi nikiwa na umri wa miaka 17. Nikiri tu ya kwamba tangu nikiwa umri huo mpaka nafikia 30 kwa...
  7. Shobi

    JamiiForums Tanzania Je mimi ni mzembe sana?

    mambo vip wakuu! nimekumbuka kisa kilichoniumiza sana.. miaka iliyopita nilifaulu kupata kazi kwenye shirika la umma lakini ilikuwa mkataba.baada ya mkataba niliendelea kusaka ajira hapa na pale sasa nilifaulu kuingia practical moja maswali yalikuwa vizuri kabisa ila computers nilikuwa natumia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

    Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri. Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaki kupatanishwa na Upinzani

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya watu wenye lengo la 'kumpatanisha' yeye na upande wa upinzani baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliompa ushindi kuongoza muhula wa sita. Huku upande wa upinzani unaoongozwa na msanii Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine aliyeshika nafasi ya pili miongoni...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Mimi ni mzungu kabisa mtaamini? Au mtakataa?

    Mimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

    Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli. Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino. kwa sasa nimeo na mke wangu ni mweusi, na hata hapo zamani nilikuwa kinganganizi msumbufu mno kuhakikisha binti...
  12. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

    Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince. Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini. Kwani ni lengo lao...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mimi Nasoma HGL, hivi chuo naweza kusomea Geology?

    Mimi nasoma HGL hivi chuo naweza kusomea GEOLOGY?
  15. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

    Habari za majukumu wana JF education? Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu. Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk. Naomba msaada wa kutimiza...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Umuhimu wake Kiuchumi kama kuna Habari ambayo nilidhani tungeijadili kwa Kina leo ni hii.......

    This' why most tourists do not return to Tanzania after first visit? Kwanini Watalii wengi wakiitembelea Tanzania mara ya Kwanza hawarudi tena? Taarifa: The Citizen Online na The Citizen Newspaper la leo. Kama labda Wanyama wetu au pengine hata Sisi huwa tunanuka bila kujijua hivyo tunawakera...
  18. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

    Wakuu! Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa. Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania GONE REGGAE: Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana "The Gambler"

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae...
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hivi hii korosho ni mimi ndo naiyona tu peke angu au ni kichwa changu kinanidanganya

    naona kama inafoka huku nyenzake pembeni zinamuangalia, naona kama naifananisha .... lakini naishia kunyamaza,
Back
Top Bottom