Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,409
19,009
Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli.

Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino.

kwa sasa nimeo na mke wangu ni mweusi, na hata hapo zamani nilikuwa kinganganizi msumbufu mno kuhakikisha binti mweusi hatoki nje ya 18 zangu.

Nashangaa sana watu wengi wanavyousifia weupe ila binafsi mwanamke mweusi ndio kigezo cha kwanza kwenye mahusiano,

Sina maana ya kuponda wadada weupe, hapana! lakini ndo ivyo tena tupo tofauti.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom