Kutokana na Umuhimu wake Kiuchumi kama kuna Habari ambayo nilidhani tungeijadili kwa Kina leo ni hii.......

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
This' why most tourists do not return to Tanzania after first visit?

Kwanini Watalii wengi wakiitembelea Tanzania mara ya Kwanza hawarudi tena?


Taarifa: The Citizen Online na The Citizen Newspaper la leo.

Kama labda Wanyama wetu au pengine hata Sisi huwa tunanuka bila kujijua hivyo tunawakera na hawarudi tena si vibaya tukiambiwa tuoge zaidi.
 
inamaana hawa maelfu ya wataliii miaka na miaka ni wapya kila siku
 
watuachie nchi yetu..kwanza hatuwahitaji sisi ni dona kantri
Sijui Sisi pamoja na Wanyama wetu huwa tunanuka hivyo tunawachefua na kuwakinaisha hivyo hawatamani kurejea / labda kuna lililojificha hapa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom