Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,472
2,000
Wakuu!

Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa.

Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na pale nikatongoza mtoto akajaa kingi, sababu kubwa ya mtoto kuingia kingi ni kutokana na haiba yangu, utanashati wangu na swaga za kiume ambazo wanawake wengi wanapata wakati mgumu kunikatalia. Basi yule manziko akaingia mazima kwa mhuni wa kitaa.

Tukadate kama miezi sita hivi kila mmoja akiwa mwaka wa mwisho chuoni lakini vyuo tofauti. Baadaye kama miezi saba hivi akaniuliza kuhusu mpango wangu kwake, nikamjibu kwa ufupi kuwa sina mpango na yeye, sina mpango wa kuoa muda ule wala kuwa na mtoto.

Alikasirika sana, alichukia mno, tena siku hiyo nilikuwa Gheto lake, nikamwambia acha mimi niende kwangu kama umechukia kukwambia ukweli, akaniambia niondoke kama kunijaribu, mimi nikaondoka lakini kabla sijafika mlangoni aliniwahi na kunivuta kwa nguvu, huku akipiga magoti akinisihi nimsikilize na kumpenda. Mimi nilimwambia nampenda lakini sio kwa kiwango cha kumpa cheo cha kuwa mke wangu.

Aliponiuliza sababu, nikamchana makavu huku nikimuonea huruma lakini sikuwa na jinsi zaidi ya kusimamia miiko.Nilimpa sababu hizi

1. Yeye alikuwa Mlevi,
wakati mimi niliapa siwezi kuoa mwanamke mnywaji wa pombe achilia mbali mlevi. Jamani D alipenda pombe, yeye kila wikiend aliitumia kunywa. Nikamwambia Watoto wangu hawatanishukuru kwa kumchagua mama Mlevi kama alivyo yeye

2. Mpenda Starehe
D alikuwa anapenda starehe vibaya mno, lika tamasha la muziki alitaka kwenda, Escape one, Dar live, 24 Club, Maisha Club n.k kila akisikia kuna bashi la kupari alitaka kwenda. Nikamwambia siwezi kuwa na mwanamke mpenda starehe kama alivyo yeye.

3. Mjeuri
D alikuwa anaujeuri wa kisukuma, mara kwa mara tulikuwa tukikuta katika ugomvi hasa nikimkanya na tabia zake za hovyo. Kupigana naye ilikuwa sehemu yetu. Nikamwambia mimi sioi mwanamke atakayeifanya nyumba yangu ulingo wa vita.

4. Hakuwa na Bikra
D sikumkuta na usichana wake, hiyo ilikuwa sababu tosha ya kumcrash, nilimwambia kabisa wewe sikukuta na Bikra. Siwezi oa mwanamke ambaye ameshatumika. Ni heri nioe bikra alafu hata akija kutoka nitamtetea kuwa ameteleza kibinadamu. Hoja hii ilimfanya aongee maneno mengi akiwa pale pale chini amepiga magoti.

Hoja zingine alisema atabadilika kama kuacha pombe, ujeuri, kuacha kupenda starehe. Nikamjibu kuwa sijaja kumbadilisha mtu mimi, mimi natafuta mtu mwenye sifa ninazo zihitaji na sio mtu ajibadilishe ili awe na sifa ninazozihitaji.
Niliondoka nikamuacha amenuna. aliniuliza mara tatu kwa majira tofauti tofauti kuhusu mpango wangu kwake. Pengine alifikiri nitabadilika, alijitahidi sana kunionyesha kuwa yupo tayari kubadilika kwa ajili yangu, lakini mimi nilibaki na kile nilichosimamia na kukiamini.

Siku moja nashangaa ananiambia anamimba, nikampongeza, lakini akaniuliza unajua hii mimba ni ya kwako, nikamtazama, nikamuuliza kivipi wakati kila tukikutana sijawahi kumwagia ndani? Akaniambia kwa ukali huku akionyesha hasira na chuki dhidi yangu, akasema, utake usitake mimba niyakwako, kama haupo tayari kuitambua na kuilea utajua mwenyewe, Mimi siitoi.

Nikabaki kumshangaa, akanisemea kwa wazazi wangu ambao wapo moshi. Nikaitwa kwenye kikao cha ndugu zake pale pale Dsm, nikatoa msimamo wangu kuwa sitamuoa na kuhusu mtoto bado nipo half half, kuamini au kutokuamini niwa kwangu hivyo tusubiri azaliwe. Baada ya miezi tisa kufika akazaliwa mtoto wa kiume, tunafanana sana. Hapo nikawa najiuliza mimba iliingiaje wakati sikuwahi kumwagia ndani.

Basi D akarudi Geita akiwa na kachanga kake na akiwa amemaliza shahada yake pale NIT. Tukawa tunawasiliana na nikijitahidi kutuma matumizi walau 50,000 kwa mwezi ingawaje alikuwa analalamika haimtoshi, lakini ningefanyaje ilhali ndio nimetoka kumaliza chuo na kazi sikuwa nayo zaidi ya mission Town.

Baada ya miaka mitatu, hiyo ni 2016-2017 D akanipigia simu kuwa anataka kuolewa hivyo nimpe Ruhusa, nikamwambia aolewe tuu kwani mimi tayari nimeshaoa yule mwanamke aliyenikuta naye. Basi akaolewa, nami nikashukuru kwani niliamini usumbufu ungepungua kwa kiasi kikubwa. Awali kabla hajapata wa kumuoa alikuwa akinipigia mara nne kwa siku bila kujali nipo na mke wangu au Laa.

Walikuwa wakitukanana na mke wangu kila mara, hivyo kitendo cha yeye kuolewa niliamini kuwa kingepunguza kasi ya usumbufu wake kwangu.

Muda huo dogo alikuwa anamiaka minne nikiwa sijamuona tangu akiwa na miezi sita waivyoondoka Dsm. Mama yake alikuwa akinitumia picha WhatsApp. Nikiri tuu, tulifanana sana, yaani ukimuona ni kama copy yangu.

Ukimya ukatokea kwa miezi kama nane hivi bila yeye kuwasiliana na mimi, alishabadilisha namba, na kila nikiipigia haipatikani, lengo lilikuwa ni kujua hali ya mtoto, nikampigia mama yake, akanijibu shit, nikamjibu anabahati sijawahi kumuona kwa macho, kwani ningemzingua vibaya mno.

Baadaye D alinitafuta kwa namba ngeni, tuliongea mengi huku akinijuza hali ya mtoto. Pia aliniambia kuwa bado ananipenda licha ya kuwa tayari ameolewa na mwanaume mwingine. Nilimwambia kwa sasa uhusiano wetu upo kwa mtoto mambo ya mapenzi yalishaisha. Nilimwambia kuwa aache kumdharau mshikaji kwani yeye ndiye amemjengea heshima na wala sio mimi niliyekataa kumuoa. Lakini D hakuwa na muda wa kunielewa, alichotaka ni kuwa niende Mwanza kwani ndiko anapoishi kwa sasa maeneo ya Isamilo, tena yupo radhi anitumie na nauli. Nikamwambia haiwezekani mimi na yeye kukutana tena kimwili.

Basi alikasirika mno huku akinitupia maneno makali kama ilivyo kawaida yake, nami sikumkopesha nikampa kama alivyotaka, akakata simu kisha akanitumia sms kuwa anajiua. Nikamwambia ni heri ajiue ili aniondolee shida, hata kama nikifungwa kwa upuuzi wake ni kheri kuishi jela kuliko kuona kero zake. Hakujibu, mimi nikawa nahofia kuwa asijekuwa amejiua kweli, nikampigia simu hakupokea, nikapiga mara tatu kimya, mara ya nne simu ikapokelewa, lakini akaongea mume wake, hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kuongea na mume mwenza.

Yule mshikaji akanichimba mikwala weee! Nikamuuliza swali, Unajua mimi ni nani kwa mkeo? Akanitukana lakini cha ajabu, D akaanza kumrushia maneno mimi nikimsikia kwenye simu, anamrushia mumewe maneno ya ukali akimwambia kuwa mimi ni mzazi mwenzake hivyo anayohaki kuongea nami kunipa taarifa ya hali ya mtoto. Walitukanana hapo mpaka nilipokata simu. Siku mbili zilizofuata, nillipigiwa simu kwa namba ngeni, kupokea aliongea mtu aliyejitambulisha kama Baba wa D, kumbe kilikuwa kikao cha familia baada ya D kufukuzwa kwa mumewe sasa. Baba D(mkwe wangu) akaniomba niachane na mtoto wake. Nikamwambia mtoto wake niliachana naye mwaka 2014 huko.

Mwaka jana 2019, D alinambia jinsi anavyofurahia kuwa na mtoto wangu. Alinisimulia kisa kilichonishtua ambacho mpaka leo kimeniacha mdomo wazi. Alinambia kuwa mimba ya Marx ambaye ni mwanangu alifanya makusudi kuipata kwa kuchukua mbegu zangu na kujiingizia ukeni, alinieleza kuwa yeye alijua simpendi lakini hakutaka niachane naye, hivyo aliona namna bora ni kujiingizia mimba kwa hila. Alinambia kwa sasa anafuraha kwa sababu anaiona sura yangu kwa mtoto wake. Pia anasema anajua siwezi kumuepuka licha ya kuwa kila mtu anamaisha yake, lakini akitaka kuongea na mimi anaongea na mimi kwani mtoto ndio kinga na ngao yake. Hiyo tosha kwake ni fahari.

Kitu pekee ambacho D hawezi kuongea na mimmi bila kukigusia ni kuhusu suala la mapenzi, kila anachokosewa na mume wake ananiambia, anatumia kigezo cha kuwa yeye ni mama watoto wangu hivyo nimfariji.

January mwaka huu alinitumia laki moja kama nauli ya kwenda Mwanza kumuona na kumpa mapenzi, nilichokifanya ni kununua nguo na kuzituma na Basi, alichukia sana kwani alisema kuwa yeye hana shida na nguo za mtoto bali anashida na mimi.

Mwezi wa saba alikuja Dar kwenye harusi ya Dada yake, alikuja na Marx, nilifurahi sana kumuona First born wangu. D alining'ang'aniza kuwa nilale naye kwani yeye hakuja kwa ajili ya harusi bali alikuja kwa ajili yangu. Nikamwambia mimi siwezi kulala na mke wa mtu hata nikiwa maiti, nina miiko hiyo. Aliumia sana, licha ya kumpa zawadi zingine huku naye akiwa ameniletea zawadi ya kiatu.

Ndoa ya D inaishi kwa sababu jokajeusi nimeamua kutorudiana na D. Jambo kuu ni kuwa, D hamuogopi mume wake kabisa, na anaweza kumtukana vile atakavyo tena mbele ya masikio yangu nikiongea naye. Kuna siku nikamwambia, sikukuoa kwa sababu ya tabia hizi, si unaona ambavyo ungenifanya, kama unashindwa kumheshimu aliyekuoa na kukupa heshima, unaniheshimu mimi mhuni niliyekuzalisha na kukutelekeza wewe sio mke bora. D hakujali nilichokuwa nasema, anachotaka ni uhakika wa mapenzi yangu.

Kisa hiki ni cha kweli kabisa, kimenitokea kwenye maisha yangu na bado kinaendelea kwani tayari sisi ni wazazi.
D mara ya mwisho kulala naye ni 2014, tangu hapo amekuwa akinisaka kwa udi na uvumba bila kujali nimeoa au yeye kaolewa.

Wanaume tusiishie kuwalaumu single mother kwa kuwaambia hawaaminiki, ni kweli hawaaminiki lakini nasi tuliozaa nao tuhakikishe hatutembei nao baada ya wao kuolewa ili kulinda ndoa zao.
Na ninyi single mother acheni tamaa za hovyo, ukiachwa umeachwa, fuata mambo yako.

Nawasilisha
 
KasiLuka

Member
Nov 23, 2019
46
150
Wakuu!

Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa.

Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na pale nikatongoza mtoto akajaa kingi, sababu kubwa ya mtoto kuingia kingi ni kutokana na haiba yangu, utanashati wangu na swaga za kiume ambazo wanawake wengi wanapata wakati mgumu kunikatalia. Basi yule manziko akaingia mazima kwa mhuni wa kitaa.
Tukadate kama miezi sita hivi kila mmoja akiwa mwaka wa mwisho chuoni lakini vyuo tofauti. Baadaye kama miezi saba hivi akaniuliza kuhusu mpango wangu kwake, nikamjibu kwa ufupi kuwa sina mpango na yeye, sina mpango wa kuoa muda ule wala kuwa na mtoto.
Alikasirika sana, alichukia mno, tena siku hiyo nilikuwa Gheto lake, nikamwambia acha mimi niende kwangu kama umechukia kukwambia ukweli, akaniambia niondoke kama kunijaribu, mimi nikaondoka lakini kabla sijafika mlangoni aliniwahi na kunivuta kwa nguvu, huku akipiga magoti akinisihi nimsikilize na kumpenda. Mimi nilimwambia nampenda lakini sio kwa kiwango cha kumpa cheo cha kuwa mke wangu.

Aliponiuliza sababu, nikamchana makavu huku nikimuonea huruma lakini sikuwa na jinsi zaidi ya kusimamia miiko.Nilimpa sababu hizi
1. Yeye alikuwa Mlevi,
wakati mimi niliapa siwezi kuoa mwanamke mnywaji wa pombe achilia mbali mlevi. Jamani D alipenda pombe, yeye kila wikiend aliitumia kunywa. Nikamwambia Watoto wangu hawatanishukuru kwa kumchagua mama Mlevi kama alivyo yeye

2. Mpenda Starehe
D alikuwa anapenda starehe vibaya mno, lika tamasha la muziki alitaka kwenda, Escape one, Dar live, 24 Club, Maisha Club n.k kila akisikia kuna bashi la kupari alitaka kwenda. Nikamwambia siwezi kuwa na mwanamke mpenda starehe kama alivyo yeye.

3. Mjeuri
D alikuwa anaujeuri wa kisukuma, mara kwa mara tulikuwa tukikuta katika ugomvi hasa nikimkanya na tabia zake za hovyo. Kupigana naye ilikuwa sehemu yetu. Nikamwambia mimi sioi mwanamke atakayeifanya nyumba yangu ulingo wa vita.

4. Hakuwa na Bikra
D sikumkuta na usichana wake, hiyo ilikuwa sababu tosha ya kumcrash, nilimwambia kabisa wewe sikukuta na Bikra. Siwezi oa mwanamke ambaye ameshatumika. Ni heri nioe bikra alafu hata akija kutoka nitamtetea kuwa ameteleza kibinadamu. Hoja hii ilimfanya aongee maneno mengi akiwa pale pale chini amepiga magoti.

Hoja zingine alisema atabadilika kama kuacha pombe, ujeuri, kuacha kupenda starehe. Nikamjibu kuwa sijaja kumbadilisha mtu mimi, mimi natafuta mtu mwenye sifa ninazo zihitaji na sio mtu ajibadilishe ili awe na sifa ninazozihitaji.
Niliondoka nikamuacha amenuna. aliniuliza mara tatu kwa majira tofauti tofauti kuhusu mpango wangu kwake. Pengine alifikiri nitabadilika, alijitahidi sana kunionyesha kuwa yupo tayari kubadilika kwa ajili yangu, lakini mimi nilibaki na kile nilichosimamia na kukiamini.

Siku moja nashangaa ananiambia anamimba, nikampongeza, lakini akaniuliza unajua hii mimba ni ya kwako, nikamtazama, nikamuuliza kivipi wakati kila tukikutana sijawahi kumwagia ndani? Akaniambia kwa ukali huku akionyesha hasira na chuki dhidi yangu, akasema, utake usitake mimba niyakwako, kama haupo tayari kuitambua na kuilea utajua mwenyewe, Mimi siitoi.
Nikabaki kumshangaa, akanisemea kwa wazazi wangu ambao wapo moshi. Nikaitwa kwenye kikao cha ndugu zake pale pale Dsm, nikatoa msimamo wangu kuwa sitamuoa na kuhusu mtoto bado nipo half half, kuamini au kutokuamini niwa kwangu hivyo tusubiri azaliwe. Baada ya miezi tisa kufika akazaliwa mtoto wa kiume, tunafanana sana. Hapo nikawa najiuliza mimba iliingiaje wakati sikuwahi kumwagia ndani.

Basi D akarudi Geita akiwa na kachanga kake na akiwa amemaliza shahada yake pale NIT. Tukawa tunawasiliana na nikijitahidi kutuma matumizi walau 50,000 kwa mwezi ingawaje alikuwa analalamika haimtoshi, lakini ningefanyaje ilhali ndio nimetoka kumaliza chuo na kazi sikuwa nayo zaidi ya mission Town. Baada ya miaka mitatu, hiyo ni 2016-2017 D akanipigia simu kuwa anataka kuolewa hivyo nimpe Ruhusa, nikamwambia aolewe tuu kwani mimi tayari nimeshaoa yule mwanamke aliyenikuta naye. Basi akaolewa, nami nikashukuru kwani niliamini usumbufu ungepungua kwa kiasi kikubwa. Awali kabla hajapata wa kumuoa alikuwa akinipigia mara nne kwa siku bila kujali nipo na mke wangu au Laa.
Walikuwa wakitukanana na mke wangu kila mara, hivyo kitendo cha yeye kuolewa niliamini kuwa kingepunguza kasi ya usumbufu wake kwangu.

Muda huo dogo alikuwa anamiaka minne nikiwa sijamuona tangu akiwa na miezi sita waivyoondoka Dsm. Mama yake alikuwa akinitumia picha WhatsApp. Nikiri tuu, tulifanana sana, yaani ukimuona ni kama copy yangu.

Ukimya ukatokea kwa miezi kama nane hivi bila yeye kuwasiliana na mimi, alishabadilisha namba, na kila nikiipigia haipatikani, lengo lilikuwa ni kujua hali ya mtoto, nikampigia mama yake, akanijibu shit, nikamjibu anabahati sijawahi kumuona kwa macho, kwani ningemzingua vibaya mno.
Baadaye D alinitafuta kwa namba ngeni, tuliongea mengi huku akinijuza hali ya mtoto. Pia aliniambia kuwa bado ananipenda licha ya kuwa tayari ameolewa na mwanaume mwingine. Nilimwambia kwa sasa uhusiano wetu upo kwa mtoto mambo ya mapenzi yalishaisha. Nilimwambia kuwa aache kumdharau mshikaji kwani yeye ndiye amemjengea heshima na wala sio mimi niliyekataa kumuoa. Lakini D hakuwa na muda wa kunielewa, alichotaka ni kuwa niende Mwanza kwani ndiko anapoishi kwa sasa maeneo ya Isamilo, tena yupo radhi anitumie na nauli. Nikamwambia haiwezekani mimi na yeye kukutana tena kimwili. Basi alikasirika mno huku akinitupia maneno makali kama ilivyo kawaida yake, nami sikumkopesha nikampa kama alivyotaka, akakata simu kisha akanitumia sms kuwa anajiua. Nikamwambia ni heri ajiue ili aniondolee shida, hata kama nikifungwa kwa upuuzi wake ni kheri kuishi jela kuliko kuona kero zake. Hakujibu, mimi nikawa nahofia kuwa asijekuwa amejiua kweli, nikampigia simu hakupokea, nikapiga mara tatu kimya, mara ya nne simu ikapokelewa, lakini akaongea mume wake, hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kuongea na mume mwenza.

Yule mshikaji akanichimba mikwala weee! Nikamuuliza swali, Unajua mimi ni nani kwa mkeo? Akanitukana lakini cha ajabu, D akaanza kumrushia maneno mimi nikimsikia kwenye simu, anamrushia mumewe maneno ya ukali akimwambia kuwa mimi ni mzazi mwenzake hivyo anayohaki kuongea nami kunipa taarifa ya hali ya mtoto. Walitukanana hapo mpaka nilipokata simu. Siku mbili zilizofuata, nillipigiwa simu kwa namba ngeni, kupokea aliongea mtu aliyejitambulisha kama Baba wa D, kumbe kilikuwa kikao cha familia baada ya D kufukuzwa kwa mumewe sasa. Baba D(mkwe wangu) akaniomba niachane na mtoto wake. Nikamwambia mtoto wake niliachana naye mwaka 2014 huko.

Mwaka jana 2019, D alinambia jinsi anavyofurahia kuwa na mtoto wangu. Alinisimulia kisa kilichonishtua ambacho mpaka leo kimeniacha mdomo wazi. Alinambia kuwa mimba ya Marx ambaye ni mwanangu alifanya makusudi kuipata kwa kuchukua mbegu zangu na kujiingizia ukeni, alinieleza kuwa yeye alijua simpendi lakini hakutaka niachane naye, hivyo aliona namna bora ni kujiingizia mimba kwa hila. Alinambia kwa sasa anafuraha kwa sababu anaiona sura yangu kwa mtoto wake. Pia anasema anajua siwezi kumuepuka licha ya kuwa kila mtu anamaisha yake, lakini akitaka kuongea na mimi anaongea na mimi kwani mtoto ndio kinga na ngao yake. Hiyo tosha kwake ni fahari.

Kitu pekee ambacho D hawezi kuongea na mimmi bila kukigusia ni kuhusu suala la mapenzi, kila anachokosewa na mume wake ananiambia, anatumia kigezo cha kuwa yeye ni mama watoto wangu hivyo nimfariji.
January mwaka huu alinitumia laki moja kama nauli ya kwenda Mwanza kumuona na kumpa mapenzi, nilichokifanya ni kununua nguo na kuzituma na Basi, alichukia sana kwani alisema kuwa yeye hana shida na nguo za mtoto bali anashida na mimi. Mwezi wa saba alikuja Dar kwenye harusi ya Dada yake, alikuja na Marx, nilifurahi sana kumuona First born wangu. D alining'ang'aniza kuwa nilale naye kwani yeye hakuja kwa ajili ya harusi bali alikuja kwa ajili yangu. Nikamwambia mimi siwezi kulala na mke wa mtu hata nikiwa maiti, nina miiko hiyo. Aliumia sana, licha ya kumpa zawadi zingine huku naye akiwa ameniletea zawadi ya kiatu.

Ndoa ya D inaishi kwa sababu jokajeusi nimeamua kutorudiana na D. Jambo kuu ni kuwa, D hamuogopi mume wake kabisa, na anaweza kumtukana vile atakavyo tena mbele ya masikio yangu nikiongea naye. Kuna siku nikamwambia, sikukuoa kwa sababu ya tabia hizi, si unaona ambavyo ungenifanya, kama unashindwa kumheshimu aliyekuoa na kukupa heshima, unaniheshimu mimi mhuni niliyekuzalisha na kukutelekeza wewe sio mke bora. D hakujali nilichokuwa nasema, anachotaka ni uhakika wa mapenzi yangu.

Kisa hiki ni cha kweli kabisa, kimenitokea kwenye maisha yangu na bado kinaendelea kwani tayari sisi ni wazazi.
D mara ya mwisho kulala naye ni 2014, tangu hapo amekuwa akinisaka kwa udi na uvumba bila kujali nimeoa au yeye kaolewa.

Wanaume tusiishie kuwalaumu single mother kwa kuwaambia hawaaminiki, ni kweli hawaaminiki lakini nasi tuliozaa nao tuhakikishe hatutembei nao baada ya wao kuolewa ili kulinda ndoa zao.
Na ninyi single mother acheni tamaa za hovyo, ukiachwa umeachwa, fuata mambo yako.

Nawasilisha
interesting

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
15,122
2,000
Kuna wakati mwanaume anakuwa anampenda mwanamke lakini kutokana na sababu kadha wa kadha inashindikana kuoana / kuishi pamoja. Huyu wa hivi hata akiolewa na mwanaume mwingine siku mkikutana ni 99.99 % mtakulana tu.

Hata hivyo maamuzi ya kukulana au kutokukulana na mke wa mtu yameegemea zaidi upande wa mwanaume sio mwanamke.

Mkeo anayo nafasi kubwa sana ya kukusababisha wewe kumla au kutokumla huyo x wako.

Ushauri wako umeeleweka
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,472
2,000
Uzuri ni kwamba sababu ya wewe kutokuendelea kumtoππba ni kwamba hukumpenda na humpendi.

Kuna wakati mwanaume anakuwa anampenda mwanamke lakini kutokana na sababu kadha wa kadha inashindikana kuoana / kuishi pamoja. Huyu wa hivi hata akiolewa na mwanaume mwingine siku mkikutana ni 99.99 % mtakulana tu.

Hata hivyo maamuzi ya kukulana au kutokukulana na mke wa mtu yameegemea zaidi upande wa mwanaume sio mwanamke.

Mkeo anayo nafasi kubwa sana ya kukusababisha wewe kumla au kutokumla huyo x wako.

Ushauri wako umeeleweka

Kumla iliwezekana kama angekuwa hajaolewa, lakini akishaolewa imeisha hiyo, sijawahi na sitawahi kulala na mke wa mtu kama ambavyo sijawahi na sitowahi kutoa bikra ya mwanamke ambaye sitamuoa.

Mimi naufunza moyo wangu kupenda kinachostahili sio moyo uniendeshe utakavyo,

Mimi mwanamke hata kama moyo haumpendi, kama anavigezo zaidi ya 80% vile vigezo vikuu vikiwaa costant nitamuoa na kumpenda kwa kuulazimisha moyo mpaka umpende, nimefanya hivi kwa mke wangu na sasa ninampenda
 
Sawa
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,472
2,000
Hivi una date vipi na mwanamke ambaye huna mpango naye wa kumuoa kwasababu ambazo unazijua kabisa, Ushamlala vya kutosha ndo unakuja kumpa sababu zako za kichoko acha tu akusumbue.

Kama ni mwanaume huwezi uliza swali la kipuuzi kama hilo,
Kwa hiyo unadhani wanaume wakikukula unafikiria wote wanampango wa kukuoa?
Sex kwa mwanaume sio sababu ya kukuoa,, sex ni starehe kwa wanaume wote duniani..

Na ndio maana mwanamke mwenye akili lazima aulize kuwa yeye ni chombo cha starehe au ni mke mtarajiwa? Sasa wewe kalia na uchoko wako hapo
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
15,122
2,000
Mkorofi sana, ila anakiri alikutana na chuma cha pua. Pia nilichomnote ni kuwa anapenda nikimgombeza na kumzingua kitu hivyo huliamsha dude makusudi ili aone reaction yangu
Unanikumbusha jamaa yetu mmoja alikuwa na mahusiano na mwanamke mmoja pale Mwanza, yule mwanamke alikuwa-ga mkorofi hatari lakini alipokuja kukumbana na huyu jamaa yetu mbona alitulizwa akanywea na hata yeye alikiri kabisa kwamba alikumbana na chuma cha pua, sio kwa kupigwa ila anadai mgegedo aliokuwa anaupata toka kwa jamaa hakuwahi kupata tangu amebalehe maake anakwambia alikuwa anapigwa miti hadi anakanda kule chini kwa maji ya barafu.

Basi mtaa mzima wakawa wanasema Salome safari hii umempata mbabe wako
 
🤣🤣🤣

Salome
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom