Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,750
139,549
Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea.

Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye tamaa lakini hana mikakati ndio maana tamaa yake inamponzaga hivyo mikakati ikifika mwisho na bado ukawa una tamaa basi utaonekana ni kibwengo.

Membe amewataka vijana wanaotaka kugombea Urais waanze maandalizi mapema lakini wawe waangalifu sana wasije wakafukuzwa kama yeye.

Chanzo: Clouds TV

Maendeleo hayana vyama!
 
Aliwahi kusema ameoteshwa.

Ole wao maadui wake aliingia ikulu.

Sasa amejitambua hakuwahi kuwa na sifa ya urais
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom