DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
39,955
2,000
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,103
2,000
Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wahehe wanapenda sifa ni wajanja kutekeleza utapeli
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,080
2,000
Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Huyu DC ni Mjinga na Mpumbavu kama ulivyo wewe.
 
Donasian kabengo

JF-Expert Member
Jul 29, 2016
734
500
Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Je na yeye akitenda kosa acharazwe bakora na walioko juuyake?
 
ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
624
1,000
Hivi huyo mpumbavu alishaona Magufuli anacharaza watu viboko?

Je bila kuwacharaza viboko wasingelipa hiyo hela? Huu ni upuuzi wa hali ya juu sema tu wengi hawajaelimika, huyu alikua ni wa kufungulia mashtaka kabisa, yeye anapiga mtu kama nani? Ni mahakama au?
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,290
2,000
Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Mpuuzi huyu sheria ipi inamruhusu kuchapa? Ataingia kwenye anga zangu niisambaze hiyo receiption.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
39,955
2,000
hivi huyo mpumbav alishaona Magufuli anacharaza watu viboko?

je bila kuwacharaza viboko wasingelipa hiyo hela? huu ni upuuzi wa hali ya juu sema tu wengi hawajaelimika huyu alikua ni wa kufungulia mashtaka kabisa, yeye anapiga mtu kama nani? ni mahakama au
Uzalendo kwanza!
 
Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,288
2,000
Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Mkumbushe kuwa "Cheo ni dhamana"
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,684
2,000
Huyu jamaa ni kilaza kweli kweli. Kuna mmoja, Tanga, Mwalimu anamuambia kafika saa nne kasoro robo, yeye anauliza hapa mbona umeandika saa tatu na dk 45? Bongo tuna safari ndefu, Kama Hawa ndio wamekabidhiwa kuongoza Idara mbali mbali, yaani sielewi kwamba "a man is innocent until proven guilty"in a court of law.

Bonge la mshamba sana huyu DC, anafikiri uzalendo ni cheap kiasi hicho.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,245
2,000
Ndio uzalendo unavyotaka!

Ana hoja za kijinga sana huyo jamaa, kuwachapa na kulipa bila mahakama kudhibitisha makosa ya hao watu huo sio utawala wa sheria bali ni uhalifu. Ni sawa na wale majambazi wanaoteka magari na kupiga watu, kisha hizo pesa za wizi wanaenda kusaidia jamii zao. Kama kiongozi anaweza kupiga watu ili walipe, mahakama ziko kwa ajili gani?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
106,764
2,000
Si makalioni tu Mkuu popote pale. Hizi sheria za mwaka 47 zimeshapitwa na wakati na ndiyo sababu tuna mahakama ingawaje haziko huru tena kwani maamuzi yanafanywa na huyo anayejiita mwendawazimu, hivyo ni lazima zipigwe vita kwa nguvu zote.
Utamchapaje fimbo mtu mzima makalioni mbele ya watu na waandishi? This dude should stop evolving and and walk up right. This is 21st century.

FAKIN ANNOYING
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
39,955
2,000
Ana hoja za kijinga sana huyo jamaa, kuwachapa na kulipa bila mahakama kudhibitisha makosa ya hao watu huo sio utawala wa sheria bali ni uhalifu. Ni sawa na wale majambazi wanaoteka magari na kupiga watu, kisha hizo pesa za wizi wanaenda kusaidia jamii zao. Kama kiongozi anaweza kupiga watu ili walipe, mahakama ziko kwa ajili gani?
Lema aliwalea vibaya hao machalii!
 
DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
898
1,000
Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ina maana bila kuwachapa wasingelipa hiyo fidia?

Tanzania inapitia kipindi kigumu sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom