mbowe

  1. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada. Haiwezekani mtetezi wa...
  2. Heparin

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  3. Mto Songwe

    Mbowe ni kipi ambacho hajakamilisha, kwanini bado Mwenyekiti?

    Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa? Naomba nitajiwe. Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama? Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?
  4. R

    ACT Wazalendo wanaamini wanaweza kushirikiana na CCM kumwondoa Mbowe Madarakani? Mbowe anaathiri vipi kustawi kwa vyama hivi shikizi?

    Viongozi wa ACT walikuwa wana Chadema hapo awali. Wakaandaa njama za kuivuruga Chadema mwisho wa siku wakakamatwa na kufukuzwa uanachama. Zito na Kitila wakafika kwa msajili chini ya wana CCM na kusajili chama chao. Wakatafuta wafuasi wakakosa na hivyo Kitila akaamua rasmi kurejea CCM kisha...
  5. BigTall

    Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
  6. F

    Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030. CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
  7. Suley2019

    Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu. Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia...
  8. Heparin

    Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024. Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
  9. I

    Mbowe jifunze haya kwa mwenzako Zitto

    Kutokana na taarifa ya ACT Wazalendo kwa Zitto Kabwe, Mhonga Said Ruhwanya, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, ametoa mfano wa uongozi bora na kutenga mfumo wa ukomavu katika siasa. Hapa kuna vipengele ambavyo Mbowe, kama mwenyekiti wa chama chake, anaweza kujifunza: 1. Kujenga Misingi ya Chama...
  10. comte

    Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

    Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi. Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital...
  11. Erythrocyte

    Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi . Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
  12. Mganguzi

    Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani! Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
  13. Suley2019

    Mbowe: Tunaandamana kupeleka ujumbe kwa watawala

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala. Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano jijini Arusha, Mbowe aligusia kuwa mpaka sasa hakuna madhara yoyote yaliyojitokeza tangu walipoanza...
  14. Nehemia Kilave

    Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?

    Je, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo? Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule. Binafsi kama...
  15. M

    Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

    Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya. Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali. Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili. Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Ikiwa tunasoma kuwa Mungu na shetani walikuwa wanapiga stori, kwa nini iwe shida kwa Mbowe na Makonda kuzungumza?

    Mpo salama bila shaka! Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana katika siasa za rohoni, lakini tunasoma walikuwa Wanapiga stori na kuteta juu ya Wanachama wa vyama...
  17. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  18. Kingsmann

    Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha...
  19. Mjanja M1

    Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
  20. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awashukuru watu wa Mwanza kwa kushiriki Maandamano kwa Wingi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi . Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa
Back
Top Bottom