Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.

Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.

Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.

Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia upinzani.

Dkt. Slaa kumrudisha CHADEMA ni kujitafutia kaburi kama alivyofanya lipumba kwa Seif na Alivyofanya Selasini kwa Mbatia.

Dkt. Slaa anatakiwa aachwe atembee na upepo siasa ishampiga mweleka.

Msome kutoka kwa Lipumba na kwa Selasini.
 
Kwa kweli hata mimi sioni umuhimu wa kumrudisha Slaa.
Ingekuwa vyema kusema tu hadharani kwamba hakuna uadui, wako vizuri ila sio kumrudisha katika operations za chama.

Huyo Slaa mwenyewe nimemuona kwenye maandamano jana huko Mbeya kachoka, apumzike.
 
Dr Slaa ni mzalendo wa kweli.

Aliondoka CHADEMA kwa sababu ya Chama kuteleza kwa kuleta mtu asiyefaa kugombea urais, akaona asishiriki dhambi hiyo kwa watanzania. Sasa hali imebadilika Mzee kaamua kuunganisha nguvu kuendeleza pale alipopaacha mwaka 2015.

Slaa ni kiongozi makini apewe uzee wa heshima wa chama asukume mbele gurudumu
 
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.

Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.

Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.

Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia upinzani.

Dkt. Slaa kumrudisha CHADEMA ni kujitafutia kaburi kama alivyofanya lipumba kwa Seif na Alivyofanya Selasini kwa Mbatia.

Dkt. Slaa anatakiwa aachwe atembee na upepo siasa ishampiga mweleka.

Msome kutoka kwa Lipumba na kwa Selasini.
Chama kina force attention, afadhali wangempa Roma mwanakulitekwa watavuma kuliko Kiki ya slaa yenye kejeli n usaliti³🤣🤣🤣🤣. Ny tumezoea, nyote ni wale wale tu
 
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.

Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.

Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.

Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia upinzani.

Dkt. Slaa kumrudisha CHADEMA ni kujitafutia kaburi kama alivyofanya lipumba kwa Seif na Alivyofanya Selasini kwa Mbatia.

Dkt. Slaa anatakiwa aachwe atembee na upepo siasa ishampiga mweleka.

Msome kutoka kwa Lipumba na kwa Selasini.
Hata Lowasa alirudi CCM, hakuna kosa hapo
 
Siasa siasa Haina adui wa kudumu kesho yako unaweza Kuta mtu anakuwa bosi wako ni mchezo tu mbona nae lowasa alirudi CCM
 
Mbowe ni jasusi na Slaa ni jasusi sasa majasusi ya ccm yaliopo Chadema lazima yawe pamoja ili kukipeleka chama wakitakavyo.
 
Sioni tatizo kabisa kwenye siasa. Hata kuondoka kwa Slaa mbona hakusema wazi naondoka CHADEMA. Aliondoka kimya kimya ili kulinda status ya Chama. Hakuondoka kwa mbwembwe kama wengine wahamavyo kwa kutukana.

Silaa kuna siku umemsikia anaiponda CHADEMA?. Kwanza alivyoondoka hakujiunga na ccm au chama kingine. Alisema tu wazi anakaa kwa muda pembeni ili kupisha upepo mbaya. Huo ni ukomavu wa hali ya juu,unaondoka kistaarabu ukiweka akiba unaweza ukarudi kesho. (Hakuondoka kama akina Mayele anaondoka ananyea kambi,tutamuongezea majini 100 ).

Pia Muhimu kwa sasa CHADEMA inepungua wapiga kelele na vichwa kama Silaa. Inahitaji watu kama Silaa. Hivi unamjua vizuri na kumkumbuka Silaa. Ndio miongoni mwa watu walioichachafya sana ccm enzi zake. Ksbb sio muoga pia alikuwa anapata mambo mengi ya ndani kutoka jikoni na kuzisema kwa wazi kabisa.

Anahitajika sana kuijenga Chedema kwa sasa. Hakuna ubaya. Namkaribisha kwa 100%.
 
DR SLAA anaheshima kubwa ndani ya cdm.yy na mbowe hao ndyo waliofikisha cdm hapo.umaurufu wa dr slaa ndyo uliojenga cdm.ndyo mana hata siku moja wanasiasa kongwe ndani ya cdm km mbowe na mnyika hawawezi kumsema vibaya dr slaa.DR SLAA ATABAKI KUWA SHUJAA WA MABADILIKO NA MWENYE MSIMAMO MKALI USIOYUMBISHWA NA UPEPO
 
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.

Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.

Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.

Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia upinzani.

Dkt. Slaa kumrudisha CHADEMA ni kujitafutia kaburi kama alivyofanya lipumba kwa Seif na Alivyofanya Selasini kwa Mbatia.

Dkt. Slaa anatakiwa aachwe atembee na upepo siasa ishampiga mweleka.

Msome kutoka kwa Lipumba na kwa Selasini.
Una akili za kike na roho yako mbaya, hakuna uadui duniani ... Dr. karibu kwa mikono miwili maana Lowasa hajatusaidia kwa lolote
 
Back
Top Bottom