Mbowe ni kipi ambacho hajakamilisha, kwanini bado Mwenyekiti?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,350
Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa? Naomba nitajiwe.

Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama?

Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?

Screenshot_20240308-100749.jpg
 
CHADEMA haijawahi kuwa na DEMOKRASIA ndani mwake kww sababu za udikteta wa Mbowe, na hivyo Wananchi wasitegeee CHADEMA kudumisha DEMOKRASIA pindi watakapo pata madaraka.

Sio hivyo tu, CHADEMA inategemea kupata madaraka kwa njia za fujo.

Na hizo fujo keshatangaza Mbowe na ameanza Kutengeneza njia hizo tayarai kwa kuanza kampeni na propaganda kuwa CCM imeanza mchakato wa kuiba kura 2024-2025

Hivi sasa CHADEMA kazi yake iliyobaki nayo ni kutukana Wananchi kama utakavyoona pindi wakiingia hapa kuja kumtetea nak usambaza uongo kuwa Kura zitaibiwa kwenye uchaguzi mkuu..
 
Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa ? Naomba nitajiwe.

Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama?

Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?

View attachment 2927926
Viongozi uchaguliwa katika chaguzi ndani ya chama. Mbowe kama mwanachama anayo haki sawa na wanachama wenzie. Kama chama kinaona anafaa kuendelea kukiongoza nyie inawahuma nini? Nini kilichopo nyuma ya pazia kwa campaign zetu dhidi ya uenyeketi wa Mbowe?
 
Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa ? Naomba nitajiwe.

Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama?

Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?

View attachment 2927926

Kama wanachama wanaendelea kumchagua wewe ni nani? Mbona Lipumba huulizi?
 
Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa ? Naomba nitajiwe.

Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama?

Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?

View attachment 2927926
KWANI CCM NI KIPI BADO HAIJAKAMILISHA KWA MIAKA 62 MADARAKANI? TUANZIE HAPO MKUU
 
unamuogopaje au kuteseka na mtu asie na madhara kwa lolote kwa asali kidogo tu na labda konyagi kubwa moja anatulia vizuri aise

nguvu kubwa anaitumia puppet na kundi lake, sema mwamba ukaskazini unamsaidia kumlinda
Mtateseka sana na uenyekiti wa Mbowe. Kawashika pabaya. Chadema bado inamuitaji aendelee kuwa m/kiti. Wanaoweweseka ni watu tofauti na wanachadema, hii inawaongezea nguvu na imani kwa kiongozi wao..... Chadema itisheni uchaguzi ndani ya chama Mbowe apewe mitano tena iwaume vizuri.
 
Yes ni Kweli,
Chadema wa kaskazini wanasema MBOWE bado anafaa sana japo hana jipya🐒

ila puppet, diaspora na wale wa kanda ya kati singidani wanamuona ni nuksi anachelewesha Chadema kusambaratika chini ya kibaraka 🤣

mateso kubwa ndio iko mtaa hiyo 🐒
 
CHADEMA haijawahi kuwa na DEMOKRASIA ndani mwake kww sababu za udikteta wa Mbowe, na hivyo Wananchi wasitegeee CHADEMA kudumisha DEMOKRASIA pindi watakapo pata madaraka.

Sio hivyo tu, CHADEMA inategemea kupata madaraka kwa njia za fujo.

Na hizo fujo keshatangaza Mbowe na ameanza Kutengeneza njia hizo tayarai kwa kuanza kampeni na propaganda kuwa CCM imeanza mchakato wa kuiba kura 2024-2025

Hivi sasa CHADEMA kazi yake iliyobaki nayo ni kutukana Wananchi kama utakavyoona pindi wakiingia hapa kuja kumtetea nak usambaza uongo kuwa Kura zitaibiwa kwenye uchaguzi mkuu..
Pingu jinsi unavyoiletea jeuri yenyewe ndivyo inavyozidi kukaza, the same apply to CCM dhidi ya CHADEMA. The way mnavyohangaika kupambana Mbowe aondoke ndivyo wanachama tunazidi kumtaka aendelee na mi5 mingine tena!
 
Back
Top Bottom