mbowe

  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

    NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia. Hata hivyo, kuna sharti muhimu: viongozi wetu, Mbowe, Lissu, na familia zao wanapaswa kuwa mstari wa...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mbowe amekuwa kimya sana tangu siku ile.Jee ni mzima au amekubali

    Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mwanasiasa, mfanyabiashara na mkulima asiyeogopa hasara

    Baba wa ubatizo wa watoto wa Mzee Aikael Mbowe au Nyerere kumtuma Mzee Aikael Mbowe kwenda kutoa posa ya ndoa ya mtoto wake Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa Rukwa wa Sasa) kwa niaba yake Ingetarajiwa ukaribu wa Baba yako na viongozi wa nchi ungeathiri mlengo wa kisiasa kwa kutaka usaidiwe kuwa...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Freeman Mbowe yupi? Yule wa bunge la katiba? Au huyu wa sasa kibogoyo asiyeweza kung'ata?

    HUYU NI MBOWE YUPI? Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba. Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti; ambaye ameifanya CHADEMA ya sasa iwe Kibogoyo isiyoweza tena kung'ata. Hovyo kabisa! Yes! Ni MBOWE...
  5. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Mbowe isiyokuwa na agenda maalumu na kutomaanisha wanachosema inapendeza kuwa upinzani sio Tawala mpaka ijitambue

    Naendelea kusisitiza tu hoja zangu Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukiona imefika mahali Freeman Mbowe akaja na kampeni ya Samia Must Go, basi ujue amechoka sana na mambo ni mabaya mno

    Freeman Mbowe ni mwanasiasa mtulivu, mwenye werevu na uvumilivu mkubwa sana. Hadi imefika Mbowe anaamua kuwa Samia Must Go, basi ujue kwa kweli mambo hayaendi vizuri katika nchi hii na kuna tatizo kubwa mno. Pamoja na kwamba uvumilivu ni jambo jema sana kila wakati, kuna mahali inafika hata...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Wanaoshombokea maandamano Lissu, Lema, Mbowe wanamakazi nje ya nchi; wanapakwenda; wewe je

    JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
  9. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muda wa mwenyekiti wa CHADEMA kujiuzulu. Mbowe must go!

    Wasalaam Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm. Maana haiwezekani wanachama wanauwawa halafu ww km kiongozi unasimama na kutetea wahusika hebu rejea msiba wa mzee kibao...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza msiba wa mzee Kibao

    Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe, achana na Samia Must Go. Ni Uhaini mtupu na mtatesa familia zenu

    Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada. Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia. Samia...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huwa inapokea ushauri wa Mbowe? Sasa kwanini huwa anashauri? Kwani ule ushauri wake wa "never and never again" ulipokelewa?

    Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu. Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza hadharani kabisa akasema "mimi huwa sishauriki na huwa sipangiwi. Tena ukinishauri ndiyo unaharibu...
  13. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Masauni, political funerals and the limit of civility

    RIP Ali Mohammed Kibao. Following this tragic death and the ensuing conversation, I am finding myself with a lot of questions. What are the limits of diplomacy and civility? Mbowe is catching a lof of flack for refraining public anger and letting Masauni speak at the Ali Mohammed Kibao...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbowe apiga picha ikiwa na chupa ya Konyagi nyuma yake

    Habari Wakuu, nimekutana na picha ikimuonesha Mbowe amepiga picha mbele ya TV huku nyuma kukiwa na chupa ya Konyagi. Je, picha hii ni halisi? ---
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa Mbowe: Huwezi Kufanya Yaleyale Siku Zote Ukategemea Matokeo Tofauti.

    Mbowe amejitahidi sana kufanya siasa za kistaarabu siku zote, bila kutambua kuwa ustaarabu unakuwa na maana, na unaweza kuleta matokeo chanya kwa mtu ambaye ni mstaarabu. Kumfanyia ustaarabu mhuni, jambazi, muuaji, ni kupoteza muda, na wala hutapata matokeo unayoyatarajia. CCM ni chama...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Wanaukumbi. MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hasara za Mbowe kuwa kiongozi wa Kiimla

    Hasara za Freeman Mbowe kuwa kiongozi wa kiimla katika CHADEMA, au chama chochote cha kisiasa, zinaweza kuwa nyingi na zinaweza kudhoofisha chama na harakati zake za kisiasa kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya hasara kuu: ### 1. Kudhoofisha Demokrasia Ndani ya Chama Uongozi wa kiimla unaweza kuzuia...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Mbowe awajibu polisi, ataka ushahidi wa zoom- ila yuko nje ya nchi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-polisi-watoe-ushahidi-mipango-ya-maandamano-kikao-cha-zoom--4744332
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
Back
Top Bottom