mbowe

  1. Pfizer

    Nyumba ya Dudley Mbowe kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi

    Na mwandishi wetu Dar es Salaam MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dudley Mbowe na kuipiga mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi wa habari. Uamuzi huo wa mahakama...
  2. Mjanja M1

    Mbowe: Nitaongoza maandamano wakati taifa likiwa kwenye maombolezo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza. " Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya Amani Jijini Mwanza, Alhamisi 15 February 2024 Taifa likiwa katika maombolezo ya Hayati Edward...
  3. Erythrocyte

    Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

    Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao. Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo...
  4. F

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mbowe, hawa ndio walezi wakuu wa kisiasa wa Edward Lowassa

    Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere akiwa kijana mdogo miaka ya 60's. Mwaka 1988 Lowassa alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
  5. JF Summary

    PreGE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  6. chiembe

    PreGE2025 Freeman Mbowe alijiapiza kujiuzulu uenyekiti wa CHADEMA 2015, kwanini ameng'ang'ania madarakani mpaka leo?

    Ahadi ni deni, muungwana hutimiza kauli, kwa nini Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema mpaka sasa,.miaka tisa baadae?
  7. Kamanda Asiyechoka

    PreGE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  8. P

    PreGE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X; "Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na...
  9. peno hasegawa

    Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

    Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024. Kama ni kweli tumuombee. Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
  10. chiembe

    Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania. Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
  11. DR Mambo Jambo

    Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
  12. comte

    PreGE2025 Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

    Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda amlipua Freeman Mbowe kuwa "siasa imemlipa, amejenga kasri, naenda kulala kwake" PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi Makonda: Yetote mwenye sifa...
  13. DR Mambo Jambo

    PreGE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

    Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
  14. chiembe

    PreGE2025 Lissu alitaka siasa za mapambano, Mbowe akataka maridhiano, Mbowe karudia siasa za mapambano, Lissu anakula bata AFCON

    Mnara wa Babeli? Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji. Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa anazozitaka hazifanikiwagi, hasa Tanzania? Yaani anamuonyesha kwamba, si unataka siasa za maandamano...
  15. K

    PreGE2025 Mtazamo: Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024 yaachwe ili lengo la Mbowe lisitimie

    Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo. Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
  16. Roving Journalist

    PreGE2025 CHADEMA Katavi yasema inaunga mkono kauli ya Mbowe ya kuandamana Januari 24

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Roda Kunchela ameyasema hayo akiwa katika ofisi ya chama hicho mkoani humo ambapo amesema agiza la...
  17. BoyOfGod

    Kwa hii hoja, CHADEMA na Mbowe wamenisikitisha sana

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa) Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa...
  18. M

    Mbowe na Lissu wanawachanganya wafuasi wao!

    Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars. Kwa mujibu wa Lissu atakuwa nchini Ivory Coast hadi January 24 amesema kuwa atatazama mechi zote za Taifa Stars! Huku ni kukingamana kwa...
  19. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  20. B

    PreGE2025 Kwa hili CHADEMA na Mbowe wako upande wa wananchi

    Habari zenu wana JF. Husikeni na mada tajwa hapo juu. Kwa kweli haihitajiki kutumia nguvu kubwa sana kujua kwamba CHADEMA na Mbowe wamekuwa sauti ya Watanzania kulingana na hali ilivyo. Kuanzia miswada batili yenye Lengo la kuwanufaisha viongozi walioko madarakani pamoja na watoto wao hadi...
Back
Top Bottom