Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,816
4,566

Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.

Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.

Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
 
CCM mna vichekesho Sana, sasa Zitto si anapewa ubunge Kigoma na wapemba wanachukuwa Chama chao?

Hivi unaamini Wapemba wanaoweza kuongozwa na Zitto?

Hujui kwamba ACT ni kimvuli cha CUF? Base ya ACT ni Zanzibar na lazima Chama kiwe chini ya Wazanzibar na ndicho kilichofanyika, huyo dada atakuwa kiongozi ceremonial tu kama Rais wa Ujerumani na Rais wa Israel, hapo wenye nguvu ni mwenyekiti na makamu wake Jusa.

Hayo ni maigizo ya kisiasa Zitto anarudishiwa Jimbo la Ujiji Kigoma.
 
View attachment 2926853

Pumbavu zake, mbona yeye hajastaafu utangazaji? Ni mwaka wa ngapi anatangaza?
 
View attachment 2926853

Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.

Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.

Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe

Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).

Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
 
CCM mna vichekesho Sana, sasa Zitto si anapewa ubunge Kigoma na wapemba wanachukuwa Chama chao?

Hivi unaamini Wapemba wanaoweza kuongozwa na Zitto?

Hujui kwamba ACT ni kimvuli cha CUF? Base ya ACT ni Zanzibar na lazima Chama kiwe chini ya Wazanzibar na ndicho kilichofanyika, huyo dada atakuwa kiongozi ceremonial tu kama Rais wa Ujerumani na Rais wa Israel, hapo wenye nguvu ni mwenyekiti na makamu wake Jusa.

Hayo ni maigizo ya kisiasa Zitto anarudishiwa Jimbo la Ujiji Kigoma.
Kwani Mbowe akitoka hawezi pata Ubunge?
 
Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe

Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).

Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
Hussein Mwinyi, Ridhiwani Kikwete, January Makamba, Adam Malima na Mchengelwa wanakucheka tu.
 
CCM mna vichekesho Sana, sasa Zitto si anapewa ubunge Kigoma na wapemba wanachukuwa Chama chao?

Hivi unaamini Wapemba wanaoweza kuongozwa na Zitto?

Hujui kwamba ACT ni kimvuli cha CUF? Base ya ACT ni Zanzibar na lazima Chama kiwe chini ya Wazanzibar na ndicho kilichofanyika, huyo dada atakuwa kiongozi ceremonial tu kama Rais wa Ujerumani na Rais wa Israel, hapo wenye nguvu ni mwenyekiti na makamu wake Jusa.

Hayo ni maigizo ya kisiasa Zitto anarudishiwa Jimbo la Ujiji Kigoma.
Malizia kwa kusema kwamba act inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani 2025

Chadema wanachotakiwa kufanya kwa sasa siyo kufikiria uchaguzi bali ni kudai katiba kwa nguvu hata 2025 ikifika badala ya kampeni yawe ni maandamano tu kutaka katiba na kutaka tume huru ya uchaguzi ndiyo uchaguzi ufanyike tofauti na hapo itabaki kuwa chadema ya mitandao na press
Tamaa zikiwaponza wakaingia kwenye uchaguzi wamekwisha

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom