mbowe

  1. technically

    JamiiForums Tanzania Mbowe asitumie ukubwa wa jina lake kushinda uchaguzi CHADEMA

    Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama 1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa. 2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kati ya Lissu na Mbowe nani imara kuiimarisha CHADEMA?

    Tumeona kazi nzuri ya Mheshimiwa Freeman Alikael Mbowe, ni kazi safi sana ambayo imeweza Kuijenga Chadema katika kipindi kirefu zaid, Yaweza kuwa uimara wa Mbowe au udhaifu wa mpinzani wake wa kipindi anapata Uenyekiti namaanisha Mpinzani mkuu wa CHADEMA alikuwa CCM, Mazuri ya Mbowe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

    Ni Jumatano tulivu.Kukiwa na maandalizi ya tukio kubwa la kisiasa kwa siasa za Tanzania. Vijana wa CHADEMA katika majimbo yote 10 ya mkoa wa DSM watakwenda kumuomba rasmi Freeman Mbowe agombee kwa mara nyingine Uenyekiti wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari Mratibu wa kampeni ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya viongozi wa CHADEMA yaahirishwa baada ya Mbowe kuugua Dengue

    Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu amehairisha kesi inayowakabili viongozi wa Chadema baada ya mmoja wa washtakiwa mh Mbowe kuugua ugonjwa wa Dengue. Source ITV habari ========== Kesi inayowakabili viongozi tisa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania imeshindwa kuendelea kwa hatua ya...
  5. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

    Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili. Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Wasiojielewa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

    Uchaguzi wa ndani CHADEMA Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe. Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25. Anasema katika kikao...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

    Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe. Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe atapita, CHADEMA waulizwe wana nia na dhumuni lipi la Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha? Je, hawatabadili katiba watawale maisha wakishinda?

    Wapinzani waliposhindwa kusimama mbele ya CCM na mwenyekiti wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wanadai hakukuwa na uchaguzi ila uchafuzi na hii si mara ya kwanza kulalamika baada ya uchaguzi. Kususia uchaguzi na chama kupita bila kupingwa ni uchafuzi kwa mantiki yao. Tuachane na hayo kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

    Ni nderemo. Ndivyo tunavyoweza kusema wakati makundi ya vijana yalivyofurika makao makuu ya CHADEMA kumchukulia fomu Mwenyekiti anayemaliza muda waje Freeman Mbowe ili agombee tena nafasi hiyo. Mratibu wa zoezi la kuchangia kumchukulia fomu Mbowe Bwana Daniel Naftali Ngogo amesema pesa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na CUF, waasisi wa Chadema hawakuwa wanasiasa bali wafanyabiashara wasio na lengo la kushika dola. Mbowe ni mtu sahihi kukiongoza

    Maneno hayo yamesemwa na mwanasiasa mstaafu Mzee Mgaya kwamba waasisi wa CUF wakina mzee Mapalala (RIP) ndio walikuwa na malengo ya kushika dola tofauti na wenzao wa NCCR - Mageuzi na Chadema. Mzee Mgaya amenihabarisha kuwa ukiyaelewa kwa makini malengo ya waasisi wa Chadema utakubali pasipo...
  11. Frediluu

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe kama CCM, yupi anastahili?

    Uchaguzi wa CDM upo karibuni na kuna wanodai eti Mbowe apishe damu mpya, labda sawa na labda si sawa maana ni miaka 10 tu tangu awe mwenyekiti. Uchaguzi nkuu nao upo karibuni kwa mujibu wa muhula na kuna wanodai eti CCM ipishe damu mpya maana imezeeka, miaka 54 au zaidi hivi, Sasa katu yao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atachaguliwa tena basi atakuwa ni kiongozi wa pili kwa kupendwa barani Afrika akitanguliwa na Robert Mugabe wa Zimbabwe

    Mwanasiasa mkongwe mzee Mgaya ananihabarisha kuwa endapo Freeman Mbowe atachaguliwa tena kuiongoza Chadema basi atakuwa ni kiongozi wa pili Afrika anayependwa " sana" ndani ya chama chake. Kiongozi anayemzidi Mbowe ni Robert Mugabe rip wa Zimbabwe lakini Mbowe kutokana na umri wake ana fursa ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Chadema mkoani Iringa kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa ili amrithi mh Mbowe uenyekiti taifa

    Iringa kuchele. Vijana wasomi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mkoani Iringa ambao ni wanachama wa Chadema wanajipanga ili waweze kumchukulia fomu mchungaji Msigwa ambaye pia ni mbunge wao. Vijana hao wamesema kama mchungaji Msigwa atasitasita kugombea basi watamshawishi mbunge David...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

    Vijana wa Chadema Mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha kampeni kubwa ya kutaka Freeman Mbowe achukue fomu kwa mara nyingine ya kugombea Uenyekiti CHADEMA. Kampeni hiyo yenye kauli mbiu #MwambaTuvushe imeungwa mkono na maelfu ya watu ambao wanachanga pesa zao kwa kiwango cha kuanzia mia tano ili...
  15. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Tani 6,740 korosho ghafi zauzwa

    Jumla ya tani 6,740 za korosho ghafi zimeuzwa katika minada miwili iliyofanyika katika wilaya za Kilwa na Ruangwa mkoani Lindi mwishoni mwa wiki katika msimu wa mwaka huu. Bei ya juu katika minada hiyo ilikuwa Sh 2,795 na chini ilikuwa Sh 2,675 kwa kilo moja kwa korosho ghafi. Kaimu Msajili wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae Chadema ya Mbowe ni kiwanda cha kutengeneza wanasiasa makini kazi ambayo UVCCM wamefeli

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa. Mchango wa Mbowe umejikita katika kuwapika na kuwaandaa vijana kuwa viongozi imara na wa kutegemewa na taifa. Kwa mfano...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam tangu Novemba 17, 2019. Mbowe ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kutohudhuria bungeni kumemkosesha Mbowe safari muhimu ya kuongozana na Waziri Mkuu na Spika kuongea na wasanii Dar

    Msafara ulioondoka bungeni jijini Dodoma ambapo Kiongozi wa Upinzani bungeni hakuonekana uliwajumuisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Spika wa bunge mh Ndugai, Waziri Mwakyembe na mbunge Musukuma. Kadhalika safari hiyo ilimuhusisha pia Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru ambaye aliomba kujumuika nao kama...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani Bungeni inakosa nafasi ya kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu kutokana na kiongozi wa kambi hiyo, Freeman Mbowe kuwa mtoro

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa mara kwa mara nafasi ya upinzani kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu inapotea kutokana na kiongozi wa kambi hiyo kuwa mtoro. Spika ametoa kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu maarufu kama maswali...
  20. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA tu inakomaliwa kuandaa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa?

    Mwenyekiti wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo; Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale?? Je, mbona NCCR mwenyekiti wake...
Back
Top Bottom