mbowe

  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani! Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunaandamana kupeleka ujumbe kwa watawala

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala. Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano jijini Arusha, Mbowe aligusia kuwa mpaka sasa hakuna madhara yoyote yaliyojitokeza tangu walipoanza...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?

    Je, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo? Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule. Binafsi kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

    Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya. Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali. Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili. Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ikiwa tunasoma kuwa Mungu na shetani walikuwa wanapiga stori, kwa nini iwe shida kwa Mbowe na Makonda kuzungumza?

    Mpo salama bila shaka! Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana katika siasa za rohoni, lakini tunasoma walikuwa Wanapiga stori na kuteta juu ya Wanachama wa vyama...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  7. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awashukuru watu wa Mwanza kwa kushiriki Maandamano kwa Wingi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi . Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Dudley Mbowe kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi

    Na mwandishi wetu Dar es Salaam MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dudley Mbowe na kuipiga mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi wa habari. Uamuzi huo wa mahakama...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nitaongoza maandamano wakati taifa likiwa kwenye maombolezo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza. " Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya Amani Jijini Mwanza, Alhamisi 15 February 2024 Taifa likiwa katika maombolezo ya Hayati Edward...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

    Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao. Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mbowe, hawa ndio walezi wakuu wa kisiasa wa Edward Lowassa

    Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere akiwa kijana mdogo miaka ya 60's. Mwaka 1988 Lowassa alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
  14. JF Summary

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe alijiapiza kujiuzulu uenyekiti wa CHADEMA 2015, kwanini ameng'ang'ania madarakani mpaka leo?

    Ahadi ni deni, muungwana hutimiza kauli, kwa nini Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema mpaka sasa,.miaka tisa baadae?
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  17. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X; "Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

    Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024. Kama ni kweli tumuombee. Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania. Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
  20. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
Back
Top Bottom