Ufisadi halimashauri?
Uzembe makazini?
Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?
Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?
Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?
Migomo ya kodi na tozo😅😂
Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.
Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.
Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile.
Nomeona wamepiga picha za kambi za...
Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta...
Samahani .
Poleni na kazi Waheshimiwa
Natumaini mkheri wa afya
Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa,
1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha.
2.Mheshimiwa .Poul Makonda
Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua...
Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari
Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link
Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu
Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
Serikali mpaka sasa inakanusha kuhusu mkopo na dhamana ya madini ila korea walishafanya kikao kuhusu madini wanayotaka afrika.
Naomba tuunganishe dot hii
https://www.youtube.com/watch?v=1_46tHD6Y6s
Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu.
Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America na Reuters vilio ripoti kama ilivyo nukuliwa hapo chini, akaja na Waziri wa uwekezaji na yeye...
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa kutongoza mwanamke aina yeyote yule Duniani hata awe raisi wa nchi kama kanipa space ya kumtongoza...
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na...
Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!?
Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana.
Ila
Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai.
Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana...
Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna.
Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu...
Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina.
Tukio la kwanza ilikuwa ni kitendo cha kupeleka fainali ya kombe la CRDB federation cup Manyara. Tukio la pili ni kitendo cha...