mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati mzee Kawawa na Dkt Omari wamesahaulika kabisa

    Salaam Kumekuwa na kumbukizi za viongozi wakuu wengi waliokwisha kutangulia mbele za haki kama vile Mwl. Nyerere, sokoine, mkapa na magufuli. Lakini sijawahi ona kumbukizi za hayati mzee Kawawa na Dkt Omari zikipewa kipaumbele na serikali sikumbuki kama ata tarehe za zinakumbukwa.. Dkt Omari...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  4. Genio the great

    JamiiForums Tanzania Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

    Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi taarifa. Asante.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbona shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi dhidi ya dollar ya Marekani?

    Leo dollar moja ya Marekani ni T.shs. 2580 kulikoni?
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wahuni wa CCM wana nguvu kuliko nguvu ya umma? Mbona kama wao ndio wanaamua mustakari wetu?

    Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC ...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe kuhusu wabunge kujiongezea mishahara ni ya kweli. Mbona hajaitwa na Kamati?

    Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:- 1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya. 2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn. 3. Pascal...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je, wajua haya kuhusu Mkoa wa Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  11. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

    Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza. Overall experience...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

    Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi. Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro-Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa. Why? Mnataka nini?
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

    Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbona kimsingi mgawo wa umeme umeisha? Kwanini meneja wa wilaya ya Arumeru unatunyanyasa wananchi wa Kikatiti?

    Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu. Prof...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k. Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Hizi ndoa hapana wakuu! Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa. Mfano:- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hivi Makonda amepotelea wapi? Mbona PM Kassimu anahaha kupambana na mafisadi dagaa kila kukicha?

    Hivi hawa CCM walishatuona maboya? Leo hii PM Majaliwa amegeuka kuwa kamanada wa Takukuru Tanzania nzima. Kila wilaya ina ofisi za Takukuru na wachunguzi kibao. PM Majaaliwa halijui hili? Pesa anazotumia kuzunguka si zingejenga shule kibao? Huyu Makonda mwenye mikwara mbuzi majukwwani mbona...
  20. vvvv

    JamiiForums Tanzania Hii timu mbona kama wazee, wanagawaje dozi?

    Kwenye ligi yao wameshindikana ila kama wote wazee!
Back
Top Bottom