Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya?

Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu ya mwonekano wa sura yake?
IMG_20240302_104618.jpg
 
Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya?

Ama wwnamtumia kwenye issue za hudhuni kwa sababu ya mwonekano wa sura yake?View attachment 2922041
🤣🤣🤣SUKUNUNU
 
Hudhuni = huzuni. Yaani watu kama wewe usiyeweza kuandika kiswahili vizuri mnastahili vifungo vya miezi 6 jela.
 
Back
Top Bottom