Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,175
10,899
Maafisa katika serikali ya raisi Biden wameendelea kukwaruzana kuhusu mashambulizi yanayoongezeka ya Houth na kuleta madhara japo jeshi la Marekani limeshatumia nguvu kubwa kuwapiga.
Naibu katibu muhtasi wa Pentagon,bi Sabrina Singh amesema Houth wanaonekana kuwa na hazina kubwa ya silaha kuliko ilivyodhaniwa mwanzo.
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa jeshi la Marekani naye amesema Houth wameendelea kutushangaza sana.

Concern grows within Biden administration as Houthis continue attacks despite US strikes

1708785718695.png
 
Ulituaminisha Saddam Hussein na Muamar Gaddaf wana majeshi bora kabsa.

Lakini US alimaliza mchezo mapema mno.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
US alienda peke yake Iraq? Unajua ni mataifa mangapi yalipigana na Iraq? Unajua ni mataifa mangapi yalishiriki kuipiga Libya?

Mbona mnapenda sana kujitoa akili nyinyi wamarekani weusi wa Itigi?
 
Back
Top Bottom