Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k.
Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs wachache wanagawana sehemu kubwa ya hio misaada, kinachobaki ndio wanatoa kwa watu wenye projects lakini bado huwa kuna kupeana kwa kujuana mfano uwe ndugu au rafiki wa flani, watu wenye real solutions na skills wanaweza wasizipate. vijana wengine wanachukuliwa wanazunguka nao kwenye matamasha na maonyesho yao, yakiisha maonyesho kila mtu atajijua mwenyewe hamna kinachoendelea, shughuli hizi wanaziandikia pesa nyingi kujustify matumizi ya zile pesa za misaada wanazopewa, mwaka ujao ni hivyo hivyo tena inakuwa kama cycle.