mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli haupingi Zanzibar ipo Kama hakuna Zanzibar mbona kuna Rais wa Zanzibar?

    Kama hakuna Zanzibar, mbona kuna rais wa Zanzibar? Anawakilisha nani?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ajali tunaambiwa dereva ametoroka na anatafutwa, kwanini mkiwapata hamtuambii?

    Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa. Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba wasomali na waethiopia, unasikia dreva amekimbia na watu waliokuwepo. Wakipatikana mtujuze basi.
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

    Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu. Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

    Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
  6. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Mbona sipati wateja kwenye tovuti yangu ya Elimu (course website)

    Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
  7. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni nini? Mashangazi mlioko huku nisaidieini maana ya mapenzi, tafadhali!!

    Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete mzungu, mmarekani mweusi au mwafrika well off but nooo katuletea mbongo, wa bongo, Baada ya kumaliza...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic. Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi Mashabiki wa Simba SC 'tumedoda' sana hapa JamiiForums Kulikoni?

    Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
  11. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Mbona matangazo ya watu kupotea hasa vijana wa kiume yamekua mengi? Au ni mimi ndiyo naona

    Wakuu hii ikoje, Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara. Au mimi ndiyo naweweseka
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi mbona kama wameyatelekeza maeneo yao, wanasubiri hadi muda wa Uchaguzi waje kutupanga tena

    Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma za muhimu zinakwama hadi karibu na muda wa kampeni ndio unawaona Wagombea wanarudi na ahadi kibao...
  13. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Mguu wa chid benz mbona hauponi?

    Habari wakuu Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo? Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu-proactiveness mbona zero? Au tunasubiri maafa tuunde tume na team za misiba?

    Fungua attachment 1 na 2 chini. Hilo ni daraja kuu Mwanza, uhuru kwa chini. Ukipita juu ya daraja limeshaanza kumomonyoka picha namba moja. Ukikaribia kulia utaona daraja kubwa hilo lote limejaa mchanga upande wa maji yanapoingilia kweye daraja (picha na 2), huo ni mchanga vimaji hivyo vinapita...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Wanabodi, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  18. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2024 zinatoka lini? Mbona kama zimechelewa? NECTA mnasemaje?

    Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
  19. O

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Sydney mbona media kimya

    Hili tukio la shambulizi la Mall huko Sydney Australia na kuuwa zaidi ya watu sita, siku linatokea tu wakaanza kutukana waislamu magaidi warudishwe toka nchi za West, hata picha ilipotoka wakaanza huyu rangi ya watu Middle East muhimu kulikuwa na matusi mpaka kwa main stream media shambulio la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
Back
Top Bottom