matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya bangi kufukuza wachawi

    Habari Nina swali kiduchu Kun ukweli gani juu ya bangi kufukuza wachawi na mapepo ?!😂 Ikiwa kuna iukweli kiasi je mtu akikimbwa na pepo bange itamfukuza ?!
  2. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? 😃
  3. plumbing bc

    JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.

    MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Ushauri wetu Wabunge utasaidia Serikali kuimarisha utekelezaji wa Vipaumbele ambavyo...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni yapi hasa matumizi ya video za ngono kiasi kwamba mtu anatumia mpaka gharama kuyatafuta?

    Zamani niliwahi kusikia kwamba watu huangalia video za ngono kwa ajili ya kujifunza style mbalimbali za kufanya tendo la ngono. Leo hii watu wengi wamekuwa waraibu wakubwa wa video hizo kiasi kwamba mtu yupo tayari ajiunge bando la internet hata mara tano kwa siku ili tu aone maudhui hayo...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi a Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9

    MHE. ESTHER EDWIN MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Natoa pongezi za dhati kwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa namna...
  7. Asphalt1961

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Matumizi ya choo kisicho na Maji, chenye toilet paper

    Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama. Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

    Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi. Wabunge waliopo sasa...
  9. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Serikali Kwenye Magari ya Taasisi za Umma ni ufujaji, Wafanye Hivi

    Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha. Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
  10. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

    Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani. Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Madhara/ maudhi yatokanayo na matumizi ya captopril, enalapril dawa za presha

    Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari. Maudhi:- Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au kutulizwa na dawa za kikohozi. Tiba:- Katika tiba, mgonjwa anapaswa kurudi kwa daktari wake na...
  12. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume. Udhalilishaji wake ni kwamba kuna...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

    Taasisi zetu hasa mashule na magereza zimejiandaaje na hili katazo?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Wameligawa kuwa la open space, PB, shule , kanisa, msikiti, makazi etc etc. Sheria iansemaje na kama una case law kuhusu scenario hiyo naomba
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Wanabodi, JF, kama kawaida yetu, be the first to know!. Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing Council, amempiga panga kwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, kwa kipindi cha miezi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria afuta safari za Viongozi za nje ya nchi kwa miezi 3 ili kubana matumizi

    NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania TRA ifanye marekebisho matumizi ya mashine za EFD ili watu walipe kodi kwa furaha

    Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi. Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya mfanyabishara. Hali hiyo ndiyo inayopelekea kufukuzana baina ya watumishi wa TRA na walipa kodi 1...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Pemba: Tani 4 za tende na tani 20 za Mchele usiofaa kwa matumizi ya Binadamu vyateketezwa

    TANI 20 za mchele mbovu pamoja na tende tani 4.1 zimeteketezwa katika shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake baada ya kuonekana bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya uteketezaji wa bidhaa hizo Mkurugenzi wa Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) Pemba, Nassir Salum Buheti...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo

    #AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis). Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
Back
Top Bottom