Baraza la Famasi nchini latoa tahadhari juu ya matumizi holela ya dawa za macho kutibu 'red eyes'

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka hayo.

20240206_164903.jpg
 
Duh hii nchi ngumu habari km hii haitawafikia wengi so dawa zitaendelea kununuliwa sijui tutumiage mbinu gn kutoa maonyo me nadhani Rais ndo anapaswa aseme sauti yake hufika mbali
 
Back
Top Bottom