Matumizi ya utambuzi wa muziki MP3 yanaelekea kupunguzwa na mfumo wa FLAC

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,602
8,730
Kwa wale wapenda mziki wa mfumo digitali baada ya kutumia teknolojia ya wave audio na mpaka kufika kwenye mfumo wa mp3(MPEG-1 Audio Layer III or MPEG-2 Audio Layer II) ambayo formati hii ilisaidia kupunguza ukubwa wa data wa sauti ili ubaki kwenye quality ile ile.

Teknolojia inazidi kukuwa kutokana na matumizi ya storage kuongezeka ambapo leo tunaona simu zina anzia 128gb na kuendelea ,ili inaipa nafasi teknolojia kuongeza ubora wa teknolojia kwenye matumizi.

NINI MAANA YA FLAC(Free Lossless Audio Codec).
ni mfumo ambao umebeba kama mtindo wa mp3 ila wenyewe umejikita kidigitali ambao umebeba kama mashairi yaliyoandikwa,kusikiliza na hata kukusanya picha ya albumu au picha ya nyimbo ilivo na mambo mengi.

Mfumo huu ulianza mwaka 2000 kwa bwana Josh Coalson ndie mvumbuzi.mwaka 2001 ilitumika kama njia za mfumo kusikilizisha miziki kwa sasa tunatumia kama spotfy,boomplay na wengine.

Mfumo huu rasmi umeanza kutumika 23 June 2023 kwa sehemu nyingi ambazo zimetambua mfumo wa flac.

bybye mp3
mp3vsflac_1.png
 
View attachment 2903819
Ubora wa flac juu ya mp3 ni Nini hsa?
 
Back
Top Bottom