Matumizi ya dawa za palizi!

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Habarini Wanajf

Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi.

Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma.

Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa kuwa nikipiga dawa mimea inabaki halafu magugu yanakauka. Hivyo nikapuliza dawa hiyo shambani lakini haikufanya kazi yeyote ikabidi niingie gharama nyingine za palizi kwa kutumia jembe la mkono..

Naomba kujulishwa hii dawa inapulizwa wakati upi?

Msimu ujao najipanga kulima mahindi pia
 
Okay, kwa hiyo kwenye mahindi ninapiga yakiwa na muda gani?
Kwene mahindi unapiga yakiwa madogo hadi katika levo ya maji ya ugoko hapo utakuta hata magugu yake bado mateke mateke .lakini yakishakuwa makubwa levo yakukaribia kutoa mbelewele nakuendelea hapo tumia tu GALAMAXSON kuna mdau hapo juu amesema LAUNDAP kwamimi naona laundap sio nzuri katika palizi kwakuwa inaenda hadi kwene mizizi kwahiyo inaweza kuua hadi mmea
 
Hizi dawa zapalizi huku nyanda zajuu tunaziita CHAMBUA sasa hizi chambua zipo tofauti yan CHAMBUA ya mahindi ukipiga kwene maharage au viazi vinakauka and vice versa kwahiyo epuka kutumia CHAMBUA shamba ambalo umelima kilimo mseto mfano umechanganya mahindi na maharage
 
Tajav
Kwene mahindi unapiga yakiwa madogo hadi katika levo ya maji ya ugoko hapo utakuta hata magugu yake bado mateke mateke .lakini yakishakuwa makubwa levo yakukaribia kutoa mbelewele nakuendelea hapo tumia tu GALAMAXSON kuna mdau hapo juu amesema LAUNDAP kwamimi naona laundap sio nzuri katika palizi kwakuwa inaenda hadi kwene mizizi kwahiyo inaweza kuua hadi mmea
Taja majina ya hizo dawa kwa ufasaha: Gramoxone; Round up; Paraquat etc.
Kumbuka: Mtu anayekielewa kitu kwa ufasaha anaweza kuki-spell correctly.
 
UGOKO (Katikati yakifundo cha mguu na goti)
1710484016339.png

Ndiyo Tibia ......nime google ikanipa kitu kama hicho. asante
 
Back
Top Bottom