Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums
COVID-19-...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutanisha wizara ya Viwanda na Biashara na wadau wa sukari nchini kuangalia uwezekano wa kushusha bei bidhaa hiyo kuelekea mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Mfungo huo unatarajiwa kuanza takriban siku tisa zijazo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na...
Wakuu heshima nyingi ziwafikie
Naomba kujuzwa uhusiano wa kiasi cha mafuta unachoweka kwenye gari na matumizi yake. Zipo habari kwamba ukiweka mafuta mengi kwenye tenki la gari yako (mfano full tank), yanadumu muda mrefu kuliko ukiwa unaweka kidogo kidogo (vibaba). Ikoje hii technically...
Na nyie Wanaume wenzangu hebu muwe Kwanza mnaangalia na Wanawake wa Kuwaowa na si Kukurupuka kama hivi hatimaye Mkeo mwenyewe ambaye umemtolea Mahari, Unamlisha, Unamvalisha na kumpa Huduma zote Stahili halafu leo anazikata kabisa( Korodani ) zako Kikatili hivi.
Wanawake wa Siku hizi ‘ Mmerogwa...
Habari ni za saizi,
Ndugu wa Tanzania kutokana na Janga la corona ningeshauri serikali na NEC wachukue maamuz ya kutumia technologia katika kipindi cha uchaguzi.
Technologia ninazo pendekeza ni kama vile Video conference na matumizi ya radio +TV's kufanyia Kampeni.
Mbili ni app maalum ya...
Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (Ewura) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu huku Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikikosa mabilioni ya kodi na tozo ya nishati hiyo.
Katika ripoti yake ya ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha...
Sanitizer Ni Aina ya kemikali inayotumika katika kuua vijidudu Kama bacteria, fangasi, virusi n.k. Hutumika pia maeneo mbalimbali Kama viwandani, hospitalini na hata kwenye maabara.
Sanitizer huwekwa michanganyiko mbalimbali ikiwemo marashi, rangi n.k. Component muhimu inayoua vijidudu Ni...
BIASHARA ya utumiaji wa gesi majumbani (LPG) inazidi kuongezeka nchini kutokana na takwimu za miaka ya hivi karibuni kuonesha ongezeko la wastani wa zaidi ya asilimia 100 kutoka mwaka 2010 hadi kufi kia mwaka 2018.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati...
Serikali ya China imesema kuwa itazuia matumizi ya fedha za noti (fiat currencies) ikiwa ni njia ya kuzuia ueneaji wa virus hatari vya corona
Serikali imesema pia itazitibu fedha zote katika majimbo yaliyoathirika zaidi na virus vya corona na kuziweka kwenye qurantine kwa muda wa zaidi ya siku...
Kumekuwepo na utaratibu wa wakulima wetu kulima zao hili kwa pamoja, hii inatokana na hali ya hewa ya mahali husika pamoja na utaratibu wa watu kufanya kama wengine. Hali hii husababisha zao la nyanya kushuka ghafla bei sokoni kutokana na wingi wa nyanya.
Tumeshuhudia watu wakipata hasara kubwa...
MATUMIZI MABOVU YA OFISI NDANI YA HFADHI YA NGORONGORO
Mheshimiw Rais shikamoo. Napenda kukupa pole wewe na serikali yako yote kwa ujumla kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa letu. Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na hekima ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea kama Taifa
Watanzania...
Ndege waliotajwa hapo juu Falcon (kipanga) Pigeons (njiwa) huweza kutumika kupiga picha za siri katika maeneo nyeti ya siri au hata maeneo ya kijeshi yasiyoruhusiwa raia.
Ndege hawa wanapopita kwenye maeneo nyeti ni hatari sana kwasababu sio rahisi kuona gadgets zilizovikwa (attached) kwa...
Tuambizane hivi kwa siku huwa unatumia shilingi ngapi kwa matumizi yako?
Mimi kwa siku huwa natumia 2000 tu yaani nikizidisha sana 3000 tena hapo naona nimevuka kiwango
Vipi wewe mwenzangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:Maisha yamechange sasahivi natumia 6000 per day weekend ndo...
Friji hutumika kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali ili visiharibike mapema. Friji ikitumiwa vyema husaidia sana katika uhifadhi wa vyakula lakini isipotumiwa vizuri huweza kusababisha hasara na magonjwa kwa mtumiaji.
Joto la Friji
Joto la friji halitakiwi kuwa zaidi ya nyuzijoto 5 za...
Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.