matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  2. beth

    #COVID19 Ufilipino: Matumizi ya dharura ya Moderna yaidhinishwa kwa wenye miaka 12 hadi 17

    Taifa hilo limeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna kwa Watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 hadi 17. Kwa mujibu wa takwimu za WHO, Ufilipino imerekodi maambukizi 2,020,484 Mamlaka ya Chakula ya Dawa Nchini humo imesema kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Delta...
  3. O

    #COVID19 Baada ya Idadi, tunahitaji kujua na muda wa Matumizi ya Chanjo

    Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali itaendelea na Kasi hii itachukua miezi 3 na kadhaa kuzimaliza hizi chanjo. Hoja yangu kwa serikali, Kama...
  4. S

    Ni vyema Wizara ya Fedha ikajua kuwa uhalisia wa matumizi ya tozo sio maneno ya namba watanzania wanasubiri kuona

    Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
Back
Top Bottom