majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Majina ya kazi yanafanya vijana wachukie na kudharau kazi

    Majina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama 1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo) 2. Nyoka (angeitwa afisa msaidizi wa uchimbaji) 3. Bodaboda (angeitwa afisa msafirishaji) 4. Mzibua vyoo na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni wamoja ushahidi majina ya wachezaji wa Afrika magharibi AFCON

    Nilianza kumsikia Ibrahim Bakayoko akiwa mchezaji wa Ivory Coast akitamba Ulaya miaka kama 18 iliyopita. Nikamsikia Camara akitamba pale Liverpool miaka zaidi ya 22 iliyopita, alikuwa akirudi afrika anachezea timu ya Taifa ya Guinea. Nikamsikia Souleymane Sane akichezea Ivory Coast miaka 30...
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye majina yanayoanza na S, C, M na D wanapenda sana kufanya mapenzi. Ya kweli haya?

    Mtaalamu wa ufahamu wa majina, Shekhie Mussa ametaja baadhi ya majina wanaopenda sana kufanya mapenzi, akisema kupenda kwao sana tendo hilo ni afya. Akataja watu wenye majina yanayoanza na herufi S, C, M na D wanapenda sana lipofika suala hilo. Wenye herufi zenu, ya kweli haya?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kukataza uhusiano wa mali za umma na majina binafsi itungwe

    WanaJamiiForums, Siku za karibuni kumeibuka wimbi kubwa la watu kuwanasibisha viongozi wakubwa wa nchi hasa Mh. Rais Samia na hata Rais aliyetangulia na hela ya bajeti ambayo inatolewa na hazina kuu ya nchi. Hii siyo sawa kabisa kwa maendeleo ya nchi na uwajibikaji. Hela zinazotoka Hazina...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya usahili Uhamiaji tayari?

    Wakuu kuna yoyote anayefahamu mchakato wa usahili wa uhamiaji anijuze nasikia majina yametoka
  6. ward41

    JamiiForums Tanzania Majina ya wa israel

    Ukiangalia mpaka sasa hivi majina ya Wa Israel ni Yale Yale ya kwenye Biblia Ukisoma Biblia utakutana na majina mengi ya wa Israel. Mfano ni Ehud Barrack, Ariel Sharon, Benjamin Netanyahu, Shimon Peres, Naftari Bennett, David Ben Gurion. nk Kwa hao wanaosema hawa sio wa Israel ni muongo.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafuta majina ya akina halima Mdee kwenye kumbukumbu za wana ukombozi na wapigania uhuru.

    Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
  8. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Majina ya kitanzania yanayosound kimamlaka na nguvu

    Kuna majina ukiyasikia tu unaona hili linawakilisha mamlaka. Yaani jina linakuwa na nguvu ndani yake. Umewahi sikia jina gani la mtanzania ukasema hili linasound kimamlaka na nguvu hasa? 1. Jidula Mabambasi 2. Kaselabantu 3. Fundikira 4. Kunjakuwili 5........
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  10. Dugwai

    JamiiForums Tanzania Barabara za mitaa zimepewa majina yasiyo endana na historia

    Habari za mchana JF members Mm ni mkazi wa Dar es Salaam sehemu ninayoishi barabara zake za mtaa zimepewa majina yasiyo endana na historia ya maeneo hayo. Majina hayo yaliwekwa pasina kuwashirikiasha wananchi, mfano kuna barabara ya mikumi,Samia,magufuli,chato n.k Ila kwa mtazamo wangu naona...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Majina yote mazuri ni yake Yesu Kristo, Messiah!

    Salaam , Shalom!! Wakati wengine wakiacha Majina waliopewa na wazazi wao na kujiita Samaki PAPA Ili tuwaogope, wengine wakijiita Bulldozer, wengine caterpillar, wengine wakijiita Sugunyo, kumbe ni Majina FAKE. Wanapitia na magari ya matangazo wakisema njoo Kwa mungu wa Katapila bila kumtaja...
  12. crome20

    JamiiForums Tanzania Hivi, vitengo vya serikali majina yake yanatokana na nini hasa?

    Kwani haya majina yanatofautinana nini hasa? Utasikia 1. Taasisi ya......... Mfano Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa 2. Bodi ya.............Mfano, Bodi ya Mikopo, 3. Tume ya..........Tume ya Taifa ya Science na Teknologoia 4. Kurugenzi ya...... Mfano Kurugenzi ya Mawasiliano ikulu 5...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tupendekeze majina ya watakaoshindana kwenye Ligi ya wenye kauli mbovu kwa wateja. Makonda wa daladala wataanzia fainali moja kwa moja

    Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana. Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania TRA hawatoi majina ya walioajiriwa badala yake wanapigiwa simu, hii inaonesha wazi kuna kuajiriwa kwa kujuana

    Habari, Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze? Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo. Suala la mtoto wa...
  15. blogger

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

    Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography. Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English. Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher... Walimu Wao...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    LIST OF SHAME. Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika: Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika. Wenza wao wapo shopping dubai na Instanbul na wanapanda ndege VIP Class kwa fedha na hasara...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

    Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka ambao tumeufikiwa kati yetu. Kikubwa ambacho tumezungumza ni kuwa Wao wametoa orodha ya majina ya...
  18. Doto12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengi mnaochagulia wanenu majina. Jina zuri haliitwi itwi

    Si vema kila unapompa mtoto jina ukatoa like kila anapokuwa linaitwa. Kwa mfano Frank, Frank, Frank, Frank Yaani jina linaitwa watoto wengii sio poa. Au Anna Anna kila sehem Anna
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, tukashauri wapinzani, basi wao wachukue nafasi ya upepo wa JPM, wakatuita kila aina ya majina!

    Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao...
  20. Maleven

    JamiiForums Tanzania Vitu vyenye majina mengi hapa duniani

    1. Pesa : hela, mavumba, mshiko, sabuni ya roho, mkwanja, maokoto, kibunda, vyuma .... 2. Uke: papuchi, kipochi manyoya, kitumbua, sambusa, bibi, mfereji maringo .... 3. Uume: Abdallah kichwa wazi, mti nyama, kisiki kisichoota majani, babu, nyoka, mkuyenge, deliboro .. 4. Wali : cha mtume...
Back
Top Bottom