majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Barabara zipewe majina ya Mkandarasi aliyejenga ikiwa pamoja na anuani yake, akiboranga tu tunae!

    Wakuu kwema? Hii imekaaje? Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi au wanasiasa au watu mashuhuri zipewe majina ya mkandarasi aliyejenga pamoja na anuani ya makazi yake, akivurunda tu tunajua pa kumpata. Nakuhakikishia kiwango kwenye ujezi wa barabara kitaimarika mara moja. Maana...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

    Naanza na mimi mwenyewe kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Magati ya Bandari yetu yapewe majina na moja liitwe Gati la Mwabukusi

    Huyu mwamba Boniface Mwabukusi, Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake! Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli! Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times! Mbona...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Kuna watafuta majina na wale wanaomanisha, ngoma ya bandari bado mbichi sana

    Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika. Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake alijitokeza mwanaharakati mmoja alieitwa Kigogo, huyu bwana aliteka sana mtandao wa Tweeter, ila siku...
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi ina majina mengi ya mitindo ya kujamiiana na kujamiiana kwenyewe kuzidi Bongo?!!!!

    Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi kagoma 4. Wezele kwio 5. Popo kanyea mbingu 6. Mtambuka 7. Tepetesha sambwanda 8. Kaokokokorobo 9. FM...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

    Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni. Utaratibu huo nakuja baada ya...
  9. Gulio Tanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema Leo mida ya asubuhi...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya kwenye email hayaonekani kwenye sm baada ya ku-reset sim

    Nime-refactorise simu yangu ajabu asilimia kubwa ya majina yaliyokuwa nimesevu kwenye email hayaonekani. Yamerudi machache sana. Tatizo litakuwa ni nini na je nifanyeje
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya watoto wa nchi za Magharibi

    Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani. Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana uhusiano na jina lake (mzazi). Mfano, baba anaweza akawa anaitwa James Allen Robert, lakini mtoto...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kuwapa watoto majina

    Wakuu, naomba kuelimishwa katika hili la majina! Natamani kufahamu yafuatayo: 1. Mtoto anaweza kutumia jina la mama yake kwenye utambulisho wa majina yake? Mfano, kama mtoto anaitwa Bakari na mama yake anaitwa Amina, anaweza kusajiliwa kama Bakari Amina? 2. Mwanamke kuwa na majina mawili ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Radio zinazosikilizwa sana mikoani

    Habari wadau. Napenda kujuaa majina ya Vituo vya radio vinavyosikilizwa sana Mikoani na vinafaa kutuma matangazo. Mikoa ninayoitarget ni hii 1. Morogoro 2. Tanga 3. Moshi 4. Arusha 5. Babati 6. Tabora 7. Mbeya 8. Iringa 9. Mara 10. Katavi Asanteni
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Dondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu. Naanza Gwakisa, endelea
  16. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

    Mohammed - 133,349,300 Maria - 61,134,526 Nushi - 55,898,624 Jose - 29,946,427 Wei - 17,145,807 Ahmed - 14,916,476 Yan - 14,793,356 Ali - 14,763,733 John - 14,323,797 David - 13,429,576 Li - 13,166,162 Abdul - 12,163,978 Ana - 12,091,132 Ying - 12,047,080 Michael - 11,471,765 Juan - 11,372,603...
  18. S

    JamiiForums Tanzania kama kweli kuna watu wamepewa 10%, ni suala la muda tu majina na viwango walivyopewa vitavuja

    Hii ndio imani yangu kwasababu sio kila mtu anapenda dhuluma, unyonyaji na wizi wa kiwango hiki. Isitoshe, wako ambao watakuwa hawajapata mgao na hawa hawatakii kimya. Tusisahau pia vita ya kisiasa baina ya wanasiasa wenyewe wa humu ndani kuelekea 2025, hivyo lazima walipuane na wapinzani ndio...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Pombe huwa haina majina mabaya

    Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba. Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
Back
Top Bottom