Wananchi wafuta majina ya akina halima Mdee kwenye kumbukumbu za wana ukombozi na wapigania uhuru.

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru

Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la kisiasa. Wakialikwa sana wanakwenda kwenye harambee na magazeti yakiwaandika siku moja positive wanakaa hadi mwaka uishe.

Wamefikishwa hapa na watu ambao wao kwao nchi na maendeleo siyo agenda, agenda kuu ni familia zao. Wamefikishwa hapa na watu ambao kwa wingi wao leo siyo wanasiasa tena wameshatumbuliwa.

Kupitia wanasiasa hawa upo umuhimu wa wanasiasa wengine wanapopata nafasi yakukubalika walinde heshima yao. Unajitoleaje kulinda heshima ya mtu mwingine wewe ukiwa unadhalilika?
 
Ni waganga njaa tu wale ona walichofanya chadema....kwanza issue ya ubunge wao imetuput off
 
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru

Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la kisiasa. Wakialikwa sana wanakwenda kwenye harambee na magazeti yakiwaandika siku moja positive wanakaa hadi mwaka uishe.

Wamefikishwa hapa na watu ambao wao kwao nchi na maendeleo siyo agenda, agenda kuu ni familia zao. Wamefikishwa hapa na watu ambao kwa wingi wao leo siyo wanasiasa tena wameshatumbuliwa.

Kupitia wanasiasa hawa upo umuhimu wa wanasiasa wengine wanapopata nafasi yakukubalika walinde heshima yao. Unajitoleaje kulinda heshima ya mtu mwingine wewe ukiwa unadhalilika?
Ndugu, yaan umepotea kabisa. Hawa wote, Mbowe, Lissu, et al including Mdee, et al. ni wapigania Uhuru na wakimboz wa, matumbo Yao. Utasubir sana
 
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru

Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la kisiasa. Wakialikwa sana wanakwenda kwenye harambee na magazeti yakiwaandika siku moja positive wanakaa hadi mwaka uishe.

Wamefikishwa hapa na watu ambao wao kwao nchi na maendeleo siyo agenda, agenda kuu ni familia zao. Wamefikishwa hapa na watu ambao kwa wingi wao leo siyo wanasiasa tena wameshatumbuliwa.

Kupitia wanasiasa hawa upo umuhimu wa wanasiasa wengine wanapopata nafasi yakukubalika walinde heshima yao. Unajitoleaje kulinda heshima ya mtu mwingine wewe ukiwa unadhalilika?
Mchango wa akina Halima Mdee anaujua Kiongozi wenu wa milele Hon Mbowe!!

Juzi kawaalika na nyumbani kwake Machame kuchangia Kanisa.

Wewe mwakilishi wa Wananchi endelea Kushika Pembe wenzako wanakamua Maziwa.
 
Naona kuna kampeni kubwa sana leo kutoka yuropa.

Kampeni hiyo ni ya kuwafirigisa wale wote wanaoonekana ni tishio kwa Uenyekiti wa CHADEMA.l au?

Kuna ya kina Mwabukusi, na sasa hapa ya wakina Halima Mdee +18 na labda Mchana kina Lissu na J. Heche ...ngoja tuone

....ni maoni yangu.
 
Mamayenu anataka kuachia movie nyingine vipi utaenda kumshikia mkoba akiwa na bwana lake la kizungu tena.
 
Naona kuna kampeni kubwa sana leo kutoka yuropa.

Kampeni hiyo ni ya kuwafirigisa wale wote wanaoonekana ni tishio kwa Uenyekiti wa CHADEMA.l au?

Kuna ya kina Mwabukusi, na sasa hapa ya wakina Halima Mdee +18 na labda Mchana kina Lissu na J. Heche ...ngoja tuone

....ni maoni yangu.
Yani makahaba Kama halima mdee na mke wake bulaya ndio wawe tishio uenyekit wa chadema ni mabwabwa ya ccm pekee ndio yanaweza kufikir hivyo.
 
Wewe ndio umewaita kina Halima na Bulaya makahaba-

Hayo si Mafikirio yako!

Au?

Usichanganye mambo
Arusha kuna "Cha Arusha" puliza kidogo unaweza kuwa na Mafikirio yenye uhalisia.

Hatahivyo, unaweza ukasema yote kwa mikogo, lakini haibadishi uhalisia, kwamba mkono wa ufashisti wa Ulaya unawasaidia sana wakuu wa CHADEMA na smearing campaign dhidi ya wale wote ambao wana matamanio ya kuona mabadiliko ya Uongozi wa Juu wa CHADEMA.

Kitaeleweka.
 
Back
Top Bottom