Dugwai
Member
- Dec 21, 2023
- 34
- 33
Habari za mchana JF members
Mm ni mkazi wa Dar es Salaam sehemu ninayoishi barabara zake za mtaa zimepewa majina yasiyo endana na historia ya maeneo hayo.
Majina hayo yaliwekwa pasina kuwashirikiasha wananchi, mfano kuna barabara ya mikumi,Samia,magufuli,chato n.k
Ila kwa mtazamo wangu naona hayo majina yanaua historia za maeneo hayo kwa sababu kwenye maeneo hayo kuna watu maaruf ambapo ingependeza kama hayo maeneo yangeitwa kwa majina yao au majina mengine ambayo ni ya kipekee ambayo yangelitambulisha maeneo hayo.
Sawa majina haya ya Chato, Mikumi n.k ni majina ya maeneo maaruf hapa nchini ila haipendez kila sehemu iitwe hivyo.
By Dugwai